Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari, Ninahitaji vidokezo kwa ombi langu la pasipoti Hali: Mimi ni mwanafunzi kwa sasa Ninahisi kusafiri masomo yangu baada ya kumaliza shule yangu, sio sasa hivi Swali, katika maombi...
0 Reactions
3 Replies
237 Views
Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu(99.9) humu JF tumepita shuleni kwani tusingepita kule tusingekuwa na uwezo wa kutoa wala kusoma comments humu. Mfumo wetu wa elimu unamtaka mwanafunzi wafaulu...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari gani wakuu Maisha changa Moto na Katika kuzitatua nikajikuta nimevuka mstari mwekundu na kujikuta nipo police station Baada ya kushindana na wale bwana wazee wa nguo za kaki kwenye...
52 Reactions
309 Replies
23K Views
Utafiti inaonesha wanawake wa Tanzania Ni duni kuliko wanaume. Juhudi za makusudi zinatakiwa kufanywa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi. Ikiwa Ni pamoja na wao wenye kuamka na kuanza kujiinua...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Habari zenu, Leo mimi kama member of JamiiForums nimekuwa na muda kupita ofisi za RITA halmashauri ya wilaya ya Kongwa, kiukweli nimesikitishwa na namna watumishi wake walivyo kosa weledi wa...
1 Reactions
3 Replies
302 Views
Usije sema hukujua. Siku hiyo akina Zai watakuwa kama wote. Halafu kama mtakodi gari kutoka Dar kwenda Mtwara hakikisheni mnakuwa na UMOJA, mwenzenu akipigwa gari zima mnakuwa MASOJA. N.B...
0 Reactions
4 Replies
369 Views
‘CNG’ ni nini? ‘CNG’ au kwa kirefu ‘Compressed Natural Gas’ (Gesi asilia iliyohifadhiwa kwa mgandamizo mkubwa)ni nishati inayoweza kutumika kama mbadala wa petroli, dizeli na gesi ya kupikia...
29 Reactions
105 Replies
14K Views
BWANA awe nanyi wana wa MUNGU Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona Kuna nyakati...
21 Reactions
212 Replies
4K Views
Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu Akanipa na siku ya...
25 Reactions
78 Replies
3K Views
Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi...
3 Reactions
7 Replies
363 Views
Mzee maarufu morogoro kwa kutengeneza saa na mganga wa tiba asili malyawere almaarufu mtundula amefariki kwa ajali msamvu tanesco morogoro yeye na mkewe leo. Mungu amlaze pema mwamba yule.
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mtaani kwetu kulikuwa na dereva taxi aliyependwa sana na dada mmoja wa TRA. Jamaa akaona ni bahati kubwa sana kuwa na mpenzi kama yule, wakaamua kuishi pamoja kwa miaka mitatu. Wakati wote huo...
3 Reactions
13 Replies
837 Views
Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya...
41 Reactions
463 Replies
49K Views
Nimeweka mstari huu wa bible kutoka biblia ya KJV kwa sababu ya kiswahili imechakachuliwa tafsiri yake. Nabii Elisha akiwa kwenye matembezi akakutana na kundi la watoto wadogo waliokuwa wakimtania...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Zaidi ya watu elfu kumi waliokuwa wanategemea machimbo ya dhahabu katika eneo la Ifugandi, wilayani Nyang'wale mkoani Geita, wanadai kuathirika kutokana na zuio la shughuli zote za uchimbaji...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba...
0 Reactions
9 Replies
397 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Montage, Teddy Mapunda amefariki muda mfupi uliyopita baada ya kuugua ghafla wakati akipata futari na wenzake hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam na kukimbizwa hospitali...
21 Reactions
188 Replies
37K Views
Asubuhi moja wiki hii Watoto watatu wakiwa wanaangalia tamthilia hiyo mmoja akaanza kufuatisha maudhui ya kwenye runinga ya kukatana mapanga. Mmoja wapo akachukua kisu na kumchoma mwenzie...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Picha linaanza daktari anakusomea majibu ya vipimo vyako bila kutarajia anakwambia una UKIMWI , ile hali na mshutuko utakaoupata baada ya hapo ndio STRESS zenyewe. Just imagine umesota sana mpaka...
2 Reactions
6 Replies
351 Views
Back
Top Bottom