DKT. BITEKO ASHIRIKI KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ZANZIBAR
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia...
Mbunge wa Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amegawa majiko ya gesi ya kupikia kwa mama lishe jimboni kwake, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya...
Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira.
Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao.
Khamis ameyasema...
Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaaam (DAWASA) kwa kuchagiza agenda ya matumizi ya Nishati...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini ili watanzania wanufaike na rasilimali...
Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi...
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imepongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga Sh. bilioni 8 kwa ajili ya kuanza...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameshuhudia uwekaji saini Mkataba wa Mauziano ya Gesi Asilia itakayozalishwa katika eneo la Ntorya Kitalu cha Ruvuma na uwekaji saini hati...
Tanzania ni nchi ya 14 duniani kwa uzalishaji wa gesi asilia ikizalisha 0.05% ya gesi yote inayozalishwa duniani. Uzalishaji wa gesi nchini umeongezeka kwa asilimia 9 mwaka 2023 kulinganisha na...
WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR
📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake
📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia
Zanzibar.
Wizara ya...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanzisha mpango wa kuunganisha kaya 951 na gesi asilia mwaka huu wa fedha. Mradi huo utaunganisha kaya 451 katika mkoa wa Lindi na kaya nyingine...
Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na...
Nikiwasikiliza viongozi wetu ni kama wanalalamika na kutupa lawama kwa Wananchi kwamba hatupendi kutumia gesi dhidi ya kuni na mkaa.
Ukweli mbona mnaujua, hakuna Mwananchi atakayehangaika na...
Hii nimeitoa mahali mimi nimeileta ilivyo[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
*MUME WAKO AU MPENZI WAKO KAMA ANATEMBEA NA MASHOGA KWA SIRI UTAJUAJE?FANYA HIVI
Jana kuna dada kaomba talaka yake kisa...
Basi la Abiria la Nguruka T545 D/W imegonga Treni ya Mizigo Y611 na kusababisha mabehewa matano kati ya 30 ya treni hiyo kuanguka na abiria 14 wa basi hilo kupata majeraha madogo
Kwa mujibu wa...
Dodoma/Singida. Ni safari ya kilometa 27 ndani ya eneo lenye miti mingi hadi kufika nyumbani kwa mganga wa kienyeji, Nkamba Kasubi anayedaiwa kuwauwa na kuwazika watu 10 kwenye vijiji vya Makuro...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa mahali salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.