Naomba msaada wanajamii forum. Yeyote anayeweza kuisaidia kumpata mtu anaitwa Osward Rweyemamu au jina kingine Mc Egron Rweyemamu.
Alikuwa anajihusisha Sana na mambo ya ujenzi. Hata Kama...
Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa...
Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere!
Mwinyi hata Rais wa...
Katika vitu ambavyo nawalaumu ndugu zangu wa uislam ni kujitoa akili kuamini kuwa magroupe ya hamas,hezbollah wanaweza kumpiga myahudi
Huu ni ujinga na unyanyasaji wa haki za binadamu
Myahudi sio...
Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya...
Hope mko gud wana-JF wote.
Kama heading inavyosema huu mwaka 2023 ni kama umekwisha maana imebakia mwezi mmoja kuingia 2024. Je, wewe ukijifanyia tathimini umefanya nini cha maana ambacho...
Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo.
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne.
Nimeiona faida...
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024 kuanzia kesho Novemba 11, 2024 imepungua kutoka 572, 338 mwaka 2023 hadi kufikia 557, 731 mwaka huu.
Akitoa...
Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa .
Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?
https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt...
Ni ukweli ulio wazi kuwa UDART maarufu kama mabasi ya mwendokasi imeshindwa kutoa huduma kwa watu na yenyewe imekuwa ikijitetea kuwa haina mabasi ya kutosha kwa sasa.
Kwa sasa wananchi wanapata...
Wakuu, toka juzi najaribu kuangalia namba ya nida kwa kuingiza details husika lakini inaniambia taarifa zimekosewa wakati ziko sahihi. Nilikuwa najaribu kupata namba ya nida ya mdogo wangu.
Sasa...
Habari zenu members, mnaweza fikiria chochote kile na mkaandika katika uzi huu.
Nahisi hisia tofauti tofauti kama mwanadamu, nimekaa nafikiria hapa maisha ambayo natamani kuyaishi, napenda sana...
Hakuna ubishi kuwa baada ya kukubali au tuseme kuingizwa mkenge na kupokea dini nyemelezi za kigeni, tulipoteza kila kitu.
Tulipoteza utambuliko wetu, majina yetu, utu wetu, upendo wetu...
Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama.
Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au...
Habari zenu wadau.
Wote tunaamini kua kuna mambo mengi sana ya kisiasa, elimu, sayansi, geografia, na maarifa mengine mengi tu ambapo kwa namna moja au nyingine mtu unakua hujapata fursa ya...
Ilikuwa hivi.
Wageni walifika nyumbani kwetu, siku zile nakumbuka ni kama walikuwa wametoka msibani mkoa flani huko.
Walipofika home, wakaoga na kisha wakapikiwa na mdada wa kazi na wakakula...
Aman iwe nanyi wana MUNGU
Kwetu sisi wakatoliki ndoto kubwa kabisa kuliko zote ni kuwa Padre usalishe Misa
Kuna mkatoliki mwenzagu ambaye hata leo sijamuona kanisan pale parokian kwetu Philip...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa tahadhari kwa umma kutokana na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya moto yanayotokana na uhifadhi wa mafuta ya petroli kwenye vifaa...
Nipo Arusha yapata week ya pili kwa kazi zangu hizi za kuuza Unga wa lishe, nafaka na biashara ya kuleta Vitu huku
Namkuta mtoto wa binamu yangu wa kiume kamaliza chuo kwa ngazi ya cheti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.