Wadau natumai mko vizuri.
Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote...
KITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini...
Yunus Nassoro Alli, 32yrs, Mshirazi wa Kilimahewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "TISS".
Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;
1) Plate number nyekundu 112
2)...
Na John Mapepele
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhika na miradi mbalimbali ya misitu na nyuki inayotekelezwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa...
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena...
Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba...
MKURUGENZI MKUU ZBC ZIARANI COMORO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar, Ramadhani Bukini yuko nchini Comoro ambapo amekutana na Mkurugenzi Mkuu mwenzake wa Shirika la Utangazaji...
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za...
Through my study!
it’s a polar shift, geomagnetic reversals where the earths north and south poles change place .. occurs every 200,000 years or so . Which will disrupt many weather patterns...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na...
Tukianzia kwa jirani zetu.
Huu ni muziki masikioni mwa viongozi wa Kiafrika waliochoshwa na kukumbushwa utaratibu wa kidemokrasia na nchi za Magharibi. Rais wa Uganda Yoweri Museveni...
Wakuu, huu ni Uungwana kweli?
Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’...
Nimefuatilia kwa makini clip ya Mh Bashe kuhusu suala hili. Kweli speech yake imeniacha na maswali mengi. Listerning between his wording (alivyo-paraphrase) na tone ya speech yake utajiuliza je...
Wapigania haki za kibinadamu wana jukumu la kulaani na kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu popote pale duniani, iwe ni ndoa za watoto huko Iraq, Israel, au sehemu nyingine yoyote. Haki za...
Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya...
Wiki Moja iliyopita Chama kikuu cha ushirika Tunduru kiliendesha mafunzo kwa viongoz wa vyama msingi yaani AMCOS zote za wilaya hii, jumla ya wajumbe waliohudhuria mafunzo ya walikuwa 586 na...
Biashara ya kuuza mwili ni moja ya biashara ambayo inapigwa vita na Jamii ikiwemo Mamlaka mbalimbali lakini pamoja na hivyo imeendelea kufanyika kwa njia tofauti maeneo mbalimbali Nchini.
Jijini...
Carey Birmingham anasema alikuwa katika hali ya hasira kwa sababu aligundua kuwa mke wake alikuwa na uhusiano wa kimapenzi.
Ushahidi uliwasilishwa kwa jury ya wanachama 12, ambayo ilijumuisha...
Habari za Jua kali Wakazi wa Duaniani.
Kuna mahala nimesikia habari ya kwamba, Katika Tasnia ya Uwekezaji hasa katika passive income ,inayowekezwa Kwa kununua Hisa, Vipande au ,Bond watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.