Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea kwa kishindo huku akija na staili mpya ya mahubiri. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukimsikiliza vizuri nabii huyu anavyoendesha mafundisho yake ya kichonganishi, hana...
9 Reactions
84 Replies
4K Views
Ukipita kariakoo mitaa mingi majenereta yanawaka umeme mchana haupo usiku wakishafunga maduka ndio unarejea kama sio mchezo huu ni nini Kariakoo ni moja ya sehem ambayo inayochangia kodi ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Kwa watumiaji wa barabara ya Mlimani City -> Makongo-> Goba na Mbezi shule->Goba. Tunaona ukiukwaji kubwa wa sheria za barabarani wakati wote kitu kinachosabisha adha kubwa kwa watumiaji...
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Wana Jf hamjambo??? Hapa Msasani ni siku ya 5 leo taka zimetolewa na Gari halionekani. Watu wametangaziwa kwamba watoe taka gari linapita jioni kubeba taka, mbaya ni kwamba mpaka Leo zipo na ni...
1 Reactions
4 Replies
361 Views
Mkurugenzi wa Kismaty Advert Media Company Ltd, Bi Mary Mollel, mfanyabiashara kutoka mkoa wa Arusha, amekimbilia Umoja wa Mataifa kuomba msaada kutokana na hofu ya usalama wake na wa familia...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Kutoka Mtandao wa X (Twitter) 1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo...
1 Reactions
2 Replies
377 Views
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu! Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala...
34 Reactions
95 Replies
6K Views
Wakuu, Huko Botswana inaonekana vijana wamezidi kupewa nafasi kwenye masuala ya uongozi. Lesego Chombo, aliyewahi kuwa Miss Botswana, ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Masuala ya Jinsia na Vijana...
2 Reactions
15 Replies
557 Views
Juzi hapa niliweka thread ikiishauri serikali, hususa Raisi Samia, kutoa tamko ambalo lingezuia mara moja utekaji na uuaji. Kama kawaida ya hii serikali yetu, naona hawajali kuchukua hatua kama...
3 Reactions
13 Replies
341 Views
Juzi kati mh mkuu wa mkoa wa Dar aliruhusu matumizi ya njia za mwendo kasi kwa zile barabara ambazo bado hazijaanza tumiwa na mabasi hayo.Ila cha kushangaza maeneo ya stesheni kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
"TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA" Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
179 Views
Dkt. Wilbroad Slaa, Mwanachama na kiongozi mstaafu wa CHADEMA amedai kuna hali ya sintofahamu ndani ya chama chake cha zamani. Ameamua kusema kuwa CHADEMA inatamka mambo makubwa, lakini vitendo...
1 Reactions
5 Replies
440 Views
Nakiri wazi kuanzia leo nikikuta mwizi anamalizwa takaa niangalie roho yangu iridhike. Nimeibiwa rim 2 mpya za gari, PS 4 na laptop. Maumivu nayosikia yanafanya niwaze vitu vingi sana huku ni...
18 Reactions
69 Replies
2K Views
Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it? 1.Mauritius 2.Botswana 3.Ghana 4.Angola 5.Zambia 6.Namibia 7.Lesotho. 8.Morocco 9.Madagascar 10.Sierra Leonne. Je...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Ndg zangu katika JF Napenda nianze kwa kuomba msamaha kabla sijakosea ili ikitokea nimekosea basi ndg zangu msiniadhibu kwa maneno makali. Ndugu zangu mimi nimekuwa nikijiuliza maswali...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimepitia maeneo na kusikia tunasemwa kuwa sisi watanzania huwa ni waoga sana, mkusanyiko huu ulikuwa unajumuisha watanzania na wengine wa mataifa jirani na kwetu, walichosema ni kwamba ikitokea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada husika, baadhi ama asilimia kubwa ya sisi watanzania tumekuwa waoga sana kwenye nyanja mbalimbali. Napenda kusemea kwenye nyanja ya hawa viongozi wetu, binafsi...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom