Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Miaka ya nyuma ulikuwa ukikutana na mzee anayumba yumba barabarani ila sasa hivi vijana unakutana nao bara barani mchana wanayumba yumba, wamelewa. Bila kutaja brand za watu hapa, ila kuna...
5 Reactions
9 Replies
246 Views
Sasa nikajisemea haijalishi magumu haya nayopitia, sitaki niipoteze na nafsi yangu pia na labda familia yangu kwa ajili ya maisha mazuri. Ushawahi kujiuliza baada ya kwenda kwa mganga ni ipi...
1 Reactions
0 Replies
65 Views
Vyombo vya ulinzi na usalama especially Uhamiaji, lichunguzeni hili. === MAJIBU YA IDARA YA UHAMIAJI KUHUSU URAIA WA WALLACE KARIA Mnamo Agosti 03, 2017 Msemaji wa uhamiaji Ally Mtandu alitoa...
1 Reactions
16 Replies
641 Views
Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini...
6 Reactions
151 Replies
4K Views
Tanzania ! Tanzania ! Habari za muda huu wananchi wenzangu vipenzi vya Taifa letu Tanzania ! Naomba kutoa wazo na mchango wangu kwa Wizara ya Elimu Tanzania. Ikiwapendeza tunaomba huduma ya...
3 Reactions
15 Replies
271 Views
  • Redirect
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika...
4 Reactions
397 Replies
74K Views
Wazazi wa mwanafunzi Mhoja Maduhu wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwasamba ya mkoani Simiyu wameomba uchunguzi ufanyike juu ya kifo cha mtoto wao kwa madai ya kuwa kifo chake...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Naona binafsi sheria zimewekwa ili kutoa adhabu na siyo kurekebisha tabia,taasisi zinazoshughulika na taratibu zimekuwa zikitozq fedha pasipo kuangalia/kuweka misingi ya kutokomeza tatizo Mfano...
1 Reactions
10 Replies
171 Views
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) tawi la Mbeya, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na meno manne ya tembo aliyokuwa nayo ndani ya gari. Mwanafunzi huyo alikiri...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanasheria wa Tibeli. Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili...
4 Reactions
70 Replies
1K Views
Wamepita Marais wengi hapa Tanzania lakini ni Rais Samia mtoto wa Ardhi ya Kizimkazi ndio ameutendea Haki Mkoa wa Mbeya kulingana na hadhi yake. Ilikuwa ni Kilio Cha mda mrefu Kwa Wana Mbeya...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani. Baada ya Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇...
3 Reactions
152 Replies
6K Views
  • Redirect
Kwanini umchape mtoto wa mtu mpaka afe, amekataa kusoma achana nae.
1 Reactions
Replies
Views
Tuanze na hii. Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini. Maana yake ni kwamba ,kama...
8 Reactions
26 Replies
801 Views
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
11 Reactions
76 Replies
3K Views
Back
Top Bottom