Tunaomba mrejesho kuhusu ujenzi wa barabara za kata ya kitunda kama tulivyoahidiwa kutoka Banana kwenda Kitunda, Magole, Kivule, Hospitali ya wilaya kivule, Magole, Mwanagati, Msongola nk...
Wananchi wa Buchosa na Geita hatimaye wameondokana na kero ya usafiri baada ya ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita kukamilika.
Mbunge wa...
Timu Maalumu inayo ongozwa na Prosper Alexander Kisinini mwanasheria wa Serikali imetinga wilayani Mbarali kwa Mafunzo yaliyoandaliwa na wizara ya katiba na Sheria kwa lengo la kuwajengea uwezo...
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma.
Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma ETI wanafunga ili...
Nipata nakala ya kitabu chake nikapitia ila tokea kutolewa uwezi sikia wala kuzungumziwa kuanzia hapa JF wala kwenye mijadala yoyote.
Ili yaliyomo yanatisha kwenye nchii na ndio maana wanatumia...
Habari wapendwa…
Hivi juzi apo niliona tangazo la kazi kutoka Western Governors University (ni chuo cha online originated huko Marekani), nikafanya interview ( phone interview) na siku chache...
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa utoaji wa mikopo kwa wananchi unazingatia makundi yote...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James ametoa siku 14 kwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani humo kuhakikisha wanatimiza majukumu yao...
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua...
Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara.
Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs...
Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.
Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo...
Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika:
1. Uislamu (Nchi za...
Wadau hamjamboni nyote?
Nasema Kwa dhati ya moyoni ndugu zetu ni wakarimu sana kutuzidi.
Mimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.