Salaam wakuu,
Najua humu kuna watu jasiri, lakini nawaambia leo hili si jambo la mzaha! Kuna watu waliowahi kukaribia kifo na walipoamka, walikuwa na simulizi za ajabu, zisizoelezeka, na...
Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya...
Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu.
Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje.
Mfano
Kande la...
Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini...
Kuwadharau Watumishi wa Mungu ni kosa linaloweza kuleta madhara makubwa kwa mtu binafsi na jamii. Biblia inatufundisha kwamba Watumishi wa Mungu wameteuliwa kutangaza Habari Njema na kuwaongoza...
Wakuu habari za leo.
Sijui wenzangu huko simu zenu vipi lakini siku za karibuni napata shida sana kutumia huduma za Tigo pesa na Mpesa mara kwa mara huduma haipatikani hasa jioni.
Hali hii...
Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB...
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili:
Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa...
Habarini Wanajf wenzangu, Ihope mko good.
Kwa mara ya kwanza nafanya meditation baada ya kufundishwa na jamaa mmoja hivi niliona haina maana, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda niliona...
MAANA YA TAHAJUDI/MEDITATION
Neno tahajudi limetokana na neno la kiingereza linaloitwa 'meditation' likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo limetokana na...
INAUMA sana! Mrembo Happyness Fredric ‘Happy’, mkazi wa Yombo-Kanisani jijini Dar ambaye alikuwa ni denti wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anadaiwa kuuawa kikatili kwa kunyongwa...
====
Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa...
Elimu imekuwa kiini cha maendeleo ya binadamu kwa karne nyingi. Tangu enzi za shule za kifalme Misri na Uchina ya kale, hadi vyuo vikuu vya kisasa kama Harvard na Oxford, elimu imeendelea...
Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.