Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Watu wa mtandao fulani sitaki kuutaja hapa huwa wana kawaida moja pale linapokuja swala la kuangalia connection,huambiana jamani naomba mnitumie nami pm au dm tugawane dhambi Angalau hao huwa na...
3 Reactions
4 Replies
249 Views
Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba. Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa. Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida. Sasa amerudi...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu mmoja ana account huko CRDB, ila anasema haijatimia kwa muda mrefu kidogo. Sasa wiki ya pili anapokea jumbe za alerts kuwa account yake imepokea sh. Kadhaa, mara baada ya muda...
11 Reactions
55 Replies
3K Views
Habari Tanzania ! Naomba kuuliza inaruhusiwa kujenga Hospital binafsi na kutoa huduma ya Afya bure bila gharama yoyote kwa kila mtu mwenye changamoto. Nauliza swali, je kwa nyinyi Serikali...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa Wakuu, Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha. Bado najiuliza ni zile video tu ndio...
3 Reactions
10 Replies
400 Views
Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso jana amefanya ziara katika maeneo ya Miganga-Mkonze na Nkuhungu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji Jijini Dodoma na kutoa maelekezo kwa watendaji maji kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Nikiwa natoka mihangaikoni, mara paaap, nikiwa sehemu moja inaitwa Taula, kilometa chache kutoka Segera uelekeo wa Dar, nakutana na raia wapo nduki wakiwa wamebeba viroba vya unga wa Azam. Kumbe...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
10 Reactions
76 Replies
2K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu...
1 Reactions
0 Replies
301 Views
Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza kwenye mahojiano na Crown FM amesema "Sijavuliwa ubalozi, ni nyie mnasema hizo taarifa niliziona kwenye vyombo vya habari" baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za...
3 Reactions
3 Replies
387 Views
Habarini wadau. Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali. Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Wakuu, Nishachoka kuja kulalamikia maji hapa, mnatufanya kama watoto tunapewa pipi tumun'unye halafu mnatupokonya. Yaani kama vile sasa hivi tupo kwenye mgao, na maji bado yana harufu mbaya...
0 Reactions
4 Replies
209 Views
KUSITISHWA KWA MUDA LESENI ZA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI ZILIZOTOLEWA KWA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Ukiacha masuala ya imani juu ya maisha baada ya kifo; kuna nadharia (theory) inayoelezea maisha baada ya kifo? Au mtu akifa inakuwaje?
1 Reactions
14 Replies
409 Views
Hoja ya Kujitolea Kama Kigezo cha Ajira Serikalini: Je, Ni Suluhisho au Tatizo? Hivi karibuni, Spika wa Bunge aligusia suala la kuwazingatia wale waliojitolea kama kigezo cha kuajiriwa katika...
2 Reactions
2 Replies
429 Views
Jiehi la plisi mkoani Kilimanjaro,linashilikia simu za kiganjani za mfanyabiashara maarufu mjini moshi(jia tunalo)akihusishwa na tukio la kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindikali kada...
1 Reactions
13 Replies
884 Views
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji, Wakili Haji Nanduli ameeleza kuwa kwenye kila lita moja ya mafuta ya Petrol na Dizel ukatwa Tsh. 50 kama tozo kwa ajili kupelekwa kwenye Mfuko wa Taifa wa...
1 Reactions
0 Replies
185 Views
Katika muktadha wa ajira serikalini, suala la kujitolea linazua changamoto nyingi, hasa linapokuja suala la kutumika kama kigezo cha ajira za kudumu. Ingawa ni muhimu kutambua mchango wa...
1 Reactions
1 Replies
747 Views
Habari za wakati huu wanajukwaa. Kipindi cha miezi kadhaa iliyopita mwaka huu, Mimi kama mkazi wa hili eneo, niliandika hapa juu ya Dampo ambalo siyo rasmi lililoanzishwa na Halmashauri ya Mji wa...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Back
Top Bottom