Nikuhusu barabari ya LUGULU-NDUNGu yenye urefu wa kilomita 12, barabara hii tangu iharibiwe na mvua za msimu wavuli mwaka 2023 barabara hii haipitishi gari lolote.
Wananchi wakata Yalugulu...
Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza:
Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa...
Apple has just launched the iPhone 15, but the rumour mill is already churning for the iPhone 16. The series is expected to bring significant upgrades and improvements compared to its...
Kwema wakuu. Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna kijana mmoja ambae ni graduate wa chuo x hapa bongo wa mwaka 2022, mwezi wa saba alifika kwa dada ake akitokea kijiji x (sio dada wa damu yan wa...
Wakuu salaam,
Tuna wazazi na walezi wa aina tofauti kwenye jamii, kuna wale wanaokwenda na wakati na wale ambao kidogo ka ukoloni kapo wakiamini njia zilizotumika miaka 47 kwake zitafanya kazi...
Naomba nianze kwa kutoa credit kwa member wa humu jamii forum aliyeandika hiyo title. Kwa kweli imenigusa sana mpaka nikashawishika kuitengenezea mada tofauti.
Ebu jiulize ni wangapi wameweza...
CRDB bank, bank statement kutumwa kwa wateja kila mwezi kwenye email zetu imekuwa tatizo tangu Januari 2024.
Huduma kwa wateja hawana majibu na ukiomba bank statement ya mwezi wanakukata kuwa...
Habari wanaJF, hivi karibuni nimekua na maswali mengi najiuliza, hivi kuna Utaratibu wowote wa kurudisha fedha zilizo wekwa kwenye mitandao ya simu kwa ndugu (warithi) endapo mtu aliyezihifazi...
Wakuu kumekucha salama?
Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma...
Ndugu wana nzengo amani iwe kwenu.
Leo kuna jambo naomba tushirikishane uzoefu limeniumiza kichwa muda mrefu sana.
Katika maisha yangu nimebahatika kuishi na wazungu kwa ukaribu sana kiasi...
Salama ndugu zangu napenda nitoe duku duku langu kwa sisi mawakala wa CRDB.
Kuna utaratibu mpya CRDB Bank wameunzisha kwamba huwezi kumtumia wakala mwezako floats kwa free charge. Nipende...
Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja,
Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti...
Hakuna tatizo lolote kutumia majina yanayohusu Mungu wa imani unayoomini, shida inakuja wewe ni mkristo / mioslam halafu unatumia jina linalomaanisha unaisifu mizimu ya kikabila wakati huwa huendi...
Nina dereva wangu ambaye ana kazi zake za kupeleka watalii porini ila kwa sasa hana gari. Mwenye gari ambaye anaikodisha tafadhali tuwasiliane.
WhatsApp: 0656388678
Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena...
Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa
Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na...
Katika maisha yangu nimekuwa nikiota ndoto kadhaa. Zingine zinakuwa hazieleweki ila zingine zinakuwa na ukweli baada ya muda flani. Yaani kinatokea kama nilivyoota. Nimekuwa nikiishi hivyo kwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.