Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA.
jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi...
Jumanne imekuwa siku ambayo Watu wengi wamekuwa na Mtazamo na Taarifa tofauti.
Baadhi ya Wafanyabisha, Wafanyakazi wamekuwa wakifunga biashara na kazi zao siku hii.
Je, wewe umewahi kusikia...
Kama maudhui ya mada yangu inavyosema, nimeona nikubali hali ya sasa ya maisha yangu na jiji la Dar es salaam.
Kwa kukubali Dar es salaam sio tena ule mji au jiji niliwahi kuishi na kuwa na...
Katika Makutano ya Morocco ambapo Barabara za Ally H.Mwinyi,Mwai Kibaki na Bagamoyo zinapo kutana na Makutano ya Mwenge.
Inapofika mida ya jioni kuanzia saa 10, Trafiki huwa wana tabia za...
DAWASA YAANZA KWA KISHINDO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza...
Salaam,
Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz.
Pia...
Mimi Arusha niliona kama nipo Gongo la Mboto hivi. Eti ndani ya dakika 5 nimeumaliza mji wote!
Hahaha ila wenyewe wakikuhadithia sasa, uongo mwingi sana, utasikia Geneva ya Africa!
Machalii wa...
Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia...
HABARINI HUMU
POLENI KWA MIHANGAIKO
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nina plan yakwenda kufanya kazi nchi zawenzetu kama vile canada, marekani, au hata uarabuni
Ila sijui A B wala C kuhusu...
Siku hizi baadhi ya wanawake wamekuwa wakiitumia mitandao ya kijamii kujitangazia biashara ya ukahaba wanayoifanya jambo linalohatarisha usalama wa maadili katika jamii yetu.
KUpitia mtandao wake...
Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka.
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya...
Kuna yule jamaa yako, yeye anakupigia simu tu anapohitaji pesa, ukiona simu yake tu, unajiambia “anahiji pesa”, usipompatia anakasirika. Anakulalamikia sana. Yeye anajua una pesa na utampa...
Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln aliwahi kusema “Ukipewa Masaa sita ya kukata mti, tumia masaa manne kunoa shoka” kwa maneno mengine ni kuwa utatumia nguvu nyingi sana kuangusha mti ikiwa...
Salaam,
Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia.
Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu.
Karibuni kwa mawazo, asanteni.
Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu?
Kuliko kuishi...
Kutokana na ukuaji wa teknolojia ni muhimu kwa watoto kuwa na elimu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao ili
kuepuka kuwa wahanga wa matukio ya uhalifu mtandaoni.
Mfundishe mwanao:
1. Aepuke...
Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google...
Hivi karibuni Baraza la mitihani Tanzania limetoa matokeo ya darasa la Saba na katika taarifa yao ni kwamba, ufaulu umeongezeka. Hilo halikunipa shida isipokuwa waliofutiwa matokeo kwa sababu kuu...
Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.