Nimesoma mahali kuwa Makamu wa Rais ameshauri Magereza yaachane na matumizi ya ndoo kama sehemu ya kujisaidia wafungwa.
Ni jambo jema ikiwa litafanikiwa lakini tatizo ni kubwa zaidi ya hilo...
Bila Salamu.
Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao.
Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume...
Mkurugenzi wa Seven Media na mtangazaji wa Wasafi fm, katamka maneno hayo Jana akiwa kwenye kipindi,
Aidha alisema anachojitahidi kwa sasa ni kutimiza majukumu yake kama Mume na kamwe hatoruhusu...
29th October 2024: Vodacom Tanzania, the Leading technology and Communication Company, has announced that it has undertaken major overhaul in its critical intelligent network infrastructure in a...
Kwa nini Wachina wakitoa mikopo ya miondombinu kwa nchi za Afrika ni lazima kampuni zao zisuhusike katika ujenzi?
Kila kwenye miradi mikubwa walipofadhili Wachina unakuta kampuni ya China ndio...
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa mauzauza sana jamani. Siku kadhaa zilizopita nilikuwa saluni akapita mjumbe wa mtaa wa Matawi, maeneo ya Skanska, akatusalimia pale na kuanza kuongelea...
Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana Oktoba 29, 2024 katika kipindi cha maswali na majibu wameibana Serikali kuhusu bei ya kuunganisha umeme maeneo ya mijini, ambapo...
Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba)...
Mwanasheria na Profesa mkongwe kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, alitoa onyo kwa serikali wakati wa Kongamano la Kitaifa la Ardhi 2024 na Maadhimisho ya Miaka 30 ya Hakiardhi...
Miaka miaka iliyoipita niliondokewa na baba yangu kipenzi, baada ya kumaliza matanga wazee wangu wa ukoo waliniita na kunikabidhi nyumba ya marehemu baba kama mmiliki halali.
Nilipojaribu...
Habari.
Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa...
Wakili Edwin Mugambila, Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa Kitaifa wa Kupinga Usafirishaji Haramu wa Binadamu, amesema:
"Kwanini huyu Afande anayehusika kwanini hajashtakiwa? Tumefanya vikao sana na...
Najiuliza hasa ni nini kipo nyuma ya sayansi ya pesa na umri, naangalia na Kuona na naendelea kujiuliza Nini kipo nyuma hasa ya kupata mafanikio na umri.
Vijana wengi Huwa wanaanza kutafuta pesa...
KYELA.
Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano...
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na...
Hii sio good news ever.
Labda huelewi.
Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.
1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu...
Habari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.