Jeshi la Polisi nchini, linawashikilia walimu 4 na mfanyabiashara mmoja, kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency) na matokeo yake...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo...
Timu maalumu ya kupambana na makosa ya mtandao kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 wakiwemo raia 04 wa...
Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo.
Maisha ni magumu, na...
Majuzi bhana, nikaenda kuangalia salio. Kuna kipindi niliweka Tsh 100,000 kwenye akaunti yangu ya CRDB nione kama kuna hela ya kutoa ili nisaidie jambo fulani. Nilichokutana nacho huwezi amini 🙌🙌—...
1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive.
2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi.
3...
Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi...
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa...
Taaluma ya sheria ni moja ya taaluma zenye hadhi ya juu sana na zenye umuhimu mkubwa sana katika jamii.
Sasa hivi kuna hii kamata kamata ya madada poa ambao kiukweli wamezagaa sana mtaani na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema hivi karibuni kuwa hakunakitazuia serikali ya mama Samia kufikisha watalii watalii milioni 5 ifikapo mwaka 2025.
Soma...
Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia.
Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida.
Hili ni...
EBigambo Byaba Bingi Muno hahaaaa Masenior wenzangu,
Nilikua kwenye pita pita zangu hapa Kaliua Eneo maarufu kama Isawima nikakutana na Malalamiko ya wananchi ambao wanalalamikia wanafunzi...
Siku hizi mnatangaza taarifa ya habari saa 12 asb,sio mbaya,ila msiwape kutangaza taarifa hizo watu wasiosomea kazi ya utangazaji,kwani wanaharibu hizo taarifa ya habari,wanameza mate...
Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile.
Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu.
Nauliza...
Siku chache zilizopita rafiki yangu alinipigia simu akitaka nimshauri kama abaki dar au aende mkoani. Alikuwa njia panda kwa sababu amepata kazi dar na pia amepata kazi mkoani, kazi zote zina...
Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea?
Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna...
Sababu za kusameheana
Msamaha ni Nini
Biblia inaposema achilieni nanyi mtaachiliwa (Luka 6:37) ina maana gani
Neno msamaha, halina tofauti sana na neno ‘kuachilia’ au ‘kufungulia’. Unapomsamehe...
Nisaidieni kujua
Kuna haja ipi ya Mwanamke kuwa namna hii?
Ni hamu ya kuwa mwanaume? au anajihisi mwanaume? au Maumbile ya kiume yanamvutia katika namna ambayo nae anatamani kuyamiliki?
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.