Kuna siku wananchi wa Ukraine walipiga kura wakajikuta wameingia mkenge kwa kumchagua mtu ambaye amelitumbukiza Taifa kwenye maafa na majanga makubwa sana ya kivita!
Sasa Rais mwenyewe anajuta...
Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu.
August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia...
Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏
Viatu vya huyu baba havinitoshi
===
Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni...
"Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya...
Hakuna kitu kinauma ulipie bill halafu muamala uwe una hang tu. Kibaya zaidi hata sms ya muamala usiipate.
Vodacom Tanzania kuanzia jana mpaka leo miamala inasuasua. Mkimaliza maboresho mtujuze...
Siku moja baada ya kifo cha mfanyabiashara wa madini, Marwa Masese (45) na mwanaye, John Marwa (28), dada wa marehemu, Grace Marwa amesimulia mkasa huo akidai kuwa mdogo wake alisaini mkataba wa...
Sijui kama jukwaa hili linafaa kwa aina huu ya uzi ila kama mods wataona hapa siyo mahala sahihi basi waupeleke pale panapostahili.
Nataka kuanziasha show ya live stand comedy, mfano wa cheka tu...
Baadhi ya watu wamekuwa wakiwasaidia ndugu zao kwenye maeneo mbalimbali. Wengi wanaweza kuwasomesha, kuwapa kazi, kuwatibia pindi wanaumwa n,k.
Sasa baada ya kufanya hivyo wanaamini nao siku...
Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
Leo nimekaa nimewaza sana kuna games watoto wetu wanacheza siku hizi ila nyingi zina hatari sana. Games nyingi siku hizi wanacheza online na zinawakutanisha na watu wasio wajua kabisa. Hii ni...
Ukweli mchungu ni kwamba kuna Ile hali ya nafsi "kutokuamini juu ya kitu kibaya ulichofanyiwa na mtu wako wa karibu mwishowe kuleta maumivu ndani Ya moyo hali inayopelekea kutokusahau na kubaki...
Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni.
Hii ni kutokana na Jukumu...
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo...
Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini.
Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk.
Wa mama...
Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea...
Kukamatwa au kung’atwa shingoni kunaweza kusababisha utulivu kwa wanyama, na hata kwa binadamu, kutokana na sababu kadhaa za kisaikolojia na kisaikolojia:
1. Kusisimuliwa kwa mshipa wa fahamu...
Kwaheri, Jenerali.
Ninatoa salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda, Makamanda, wapiganaji wastaafu, wapiganaji walio katika utumishi, ndugu, jamaa, marafiki na...
Mwanza.
Serikali ya Tanzania imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria.
Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea...
Na Mwandishi wetu - Dar es salaam.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus, amewataka Madereva kuzingatia tija na ufanisi katika utendaji kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.