Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wasabato wachungaji wana vichupa vya mafuta, na muongozo wao unawataka hivyo hasa kwa wagonjwa mahututi. Huwezi kuwasikia wanasema na Wasabato wengi hawajui kwa sababu hawana biasharisha na...
3 Reactions
46 Replies
876 Views
Anonymous (bb9c)
Chuo cha SAUT kina wakufunzi baadhi wananyanyasa sana wanafunzi, wanawafelisha makusudi na bado hata wanafunzi wakirudia mitihani hawawajazii kwa kudai wao wako busy hawawezi kushughulikia...
4 Reactions
8 Replies
405 Views
Lugha ni nyezo ya mawasiliano ambayo imekuwa na msaada mkubwa kwenye maisha ya binadamu kwenye maendeleo yake katika kila nyanja iwe ni kiuchumi, kisiasa kisaioilojia kisayansi, binadamu katumia...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Habari za Weekend Wakuu, Embu leo tuambiane brand gani ya saa ya mkononi ambayo unaipendelea ukiangalia vitu kama quality, price na design. Mimi nimetokea kupenda brands za saa za mkononi kama...
3 Reactions
197 Replies
32K Views
NIKI MBISHI. Na ukitaka ganja kali ni Sinza kwa #KAPACHINO....R.I.P RASTA "Sshh, jiheshimu joh, weed tutachoma Kimya kimya, we msomeshe "#Kapachino" kwenye kona Akupe kitu cha Arusha, mi nnacho...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani. Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi...
7 Reactions
50 Replies
1K Views
Tanzania ushoga upo na kama hili swala halitadhibitiwa mapema yawezaka ikachukua kizazi kizima (wastan wa miaka 100) kutokomeza kulithibiti Siku hizi wana majina yao wanajiita watoto wa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa kuangalia tu kwa macho ya kawaida utagundua kizazi cha sasa kina watu wadogo wadogo sana. (Kwa maana ya miili midogo na kimo kifupi pia). Kuna siku nilikuwa kwenye daladala sehemu fulani eneo...
43 Reactions
172 Replies
16K Views
Kwa heshima na taadhima, nakupongeza na kukushukuru sana Maxence Melo kwa kubuni jamvi hili zuri na kulisimamia vema tangu ulipolianzisha miaka mingi iliyopita. Nakuvulia kofia, Mkuu. Mimi...
27 Reactions
63 Replies
4K Views
Wanajamvi, Leo naomba nilete kwenu giza hili la Tabora, kiukweli nimesikia mara kadhaa baadhi ya Viongozi wa Tabora kupiga kampeni ya kwamba, Tabora linatakiwa kuwa Jiji, kwa Giza hili hadhi ya...
0 Reactions
9 Replies
604 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au...
4 Reactions
7 Replies
355 Views
Tanzania hii kuna watu wanalewa kwa zaidi ya milion 3. 🙄🙄
3 Reactions
9 Replies
349 Views
Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Joseph Kasongwa Mwaiswelo, amesema utafiti wa taasisi hiyo uliofanyika mwaka 2020 umebaini kuwa asilimia 23 ya...
1 Reactions
6 Replies
336 Views
Habari za muda huu Wapwa?, ninaimani mnaendelea vizuri. Leo nitazungumza kuhusu kuishi na mtu hasa mfanyakazi awe ni House maid au office worker. Japo hata kwa mtu wa kawaida naye itamgusa pia...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Anonymous (91e8)
Tunaomba wahusika wafuatilie kuhusu vitendo vinavyofanywa na hawa watu wa ushirika kwenye malipo ya korosho huku Mtwara na Lindi. Umefanyika mnada wa kwanza wa korosho wiki 4 zilizopita na bei...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Ningependa kufahamu, wengine mliwezaje kuinuka tena baada ya kuanguka kiuchumi? Mlitumia mbinu gani kuondoka katika hali ya ufukara uliokithiri, na ni nini kilichowasaidia kufanikisha hilo...
7 Reactions
35 Replies
854 Views
  • Poll Poll
Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie...
4 Reactions
53 Replies
1K Views
Jambo la kuzingatia: Nitatumia DAKTARI kumaanisha wahusika wote wa sehemu za huduma za afya. Pia Nitatumia HOSPITALI kumaanisha sehemu zote zinazotoa huduma za afya Ujue tumezoea kwenye majeshi...
0 Reactions
4 Replies
202 Views
Back
Top Bottom