DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024.
Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano...
Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14.
Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua.
Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari!
1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel
imeanza na...
Habari wadau!
Naenda kwenye hoja moja kwa moja.
Kama mnavyojua maisha yanaenda kasi sana. Utandawaz naweza sema umeenea kila pande ya Dunia na hamna binadamu ambaye anakubali kuwa nyuma au jamii...
Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus".
Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu...
https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0
DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Russia and Tanzania are capable of doubling their trade, and Russian businesses display an interest in joint projects...
Nimesoma kwa umakini sana post ya ONTARIO kuhusu kuitwa tapeli na namna alivyojisafisha >> Nakemea vikali ujinga, uongo, Uhuni na utapeli unaoenezwa na baadhi ya JF members
Naomba kuzungumza...
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua...
Naam kutokana nahizi vita vina vyo endelea duniani. Russia na Ukraine na mashariki ya kati kama Israeli na Palestine mixer Iran china Taiwan nk
Hawa ngozi nyeupe wakishachapana wakakaa sawa...
Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General...
Nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili vya kulala, sebule, public toilet/bafu, jiko dogo, katika hivyo vyumba viwili kimoja kiwe na choo/bafu ndani.
Kiwanja tayari ninacho 20 *20. Ninaplan...
Kwa wale wapenzi wa Bongo Fleva, mtakumbuka kuwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, staa wa muziki huo wakati huo, Hussein Machozi, alitoa wimbo uliogusa hisia za wengi ambao ndio umebeba Title ya...
Mwaka fulani nilipomaliza chuo kikuu nikiwa bado kupata ajira rasmi niliamua kutafuta kazi nje ya kile nilichosomea chuoni. Kwani nilipokuwa o-level shule ya ufundi nilisomea ufundi wa kupaka...
Oktoba 26, 2024 baadhi wa Watendaji wa JamiiForums walifanya Mjadala na Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Feza na kujadili mbinu za kulea watoto katika nyakati Dunia ya...
Wana Jamvi kuna mengine sio ya kuacha kabisa maana Wakati uchaguzi serikali za mitaaa ukitarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu, leo wakati nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa Ipuli hapa, nimepata...
Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii.
Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na...
Ukifuatilia kwa karibu haya mambo kuna mahali inafika unabaki na mshangao
Mtu anaanza kuugua from no where..!anajikunja kama ana kibyongo au kabeba kitu kizito hasa au anatembea utadhani ana busha...
Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF.
Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI!
Sijajua lengo...
Alichoniadithia Babu Yangu mwaka 1996 Mwezi wa 6. Siku ya Juma Pili.
" Kulikua na Mvuvi ametoka baharini kuvua, amebeba Samaki watatu wazuri sana.
Akiwa anatembea alikutana na mfalme.
Mfalme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.