Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa...
Mbunge mstaafu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amesema Kimsingi yeye " HAJAIKIMBIA" Chadema ila Chadema ndio imemkimbia yeye
Soma Pia: Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto...
Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi,
Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka...
Kupitia QR Code wadukuzi wanaweza kutumia kukupeleka katika tovuti hatarishi lakini pia wanaweza kukusanya taarifa zako zilizopo kwenye kifaa chako na kuhatarisha usalama wako Mtandaoni.
Kabla...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesifu ujasiri na uzalendo alionao Mwanassiasa Mkongwe Mzee Baraka Mohamed Shamte kwa kuweza kukwepa ghiliba na hadaa za upinzani na kuendelea kuunga mkono CCM.
Pia...
Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna...
Leo nikiwa mishemishe nilipata kusikia mahojiano ya msanii mone centrozone akielezea kuhusu issue ya nafasi ya upendeleo, ambapo anafunguka na kusema mwaka 2017 alipata kuandika ngoma yake na...
Wagalatia 3:28 ,29
Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
Na kama ninyi ni wa Kristo, basi...
Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu.
Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu.
Tumedharililishwa kisa wake za watu.
Tumefirisika kisa makahaba
Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza...
Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Tamko...
Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.
Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa
Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo...
Haya maisha hayahitaji unyonge hata kidogo. Itafikia hatua utahisi ya kuwa wewe ni fungu la kukosa siku zote.
Kuna watu ambao watawahi kupata pesa, kazi ama mafanikio ya aina yeyote ile, mapema...
Hatma ya kesi inayomhusu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji inatarajiwa kujulikana...
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa...
MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA?
Na Josephat H
Interview And Carrer Coach
+255656480968
Dar Es Salaaam, Tanzania
👉Leo ni tarehe 28.09.2024...
Habari wapendwa!
Katika maisha kila kitu kinashortcut!
Hakunaga njia ndefu isiyokuwa na shortcut!
Mimi ni moja ya waumini wa kutafta shortcut!
Yaani mimi li unipitishe njia ndefu huwa ni lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.