Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya.
Ilikuwa ni fursa kwao...
Kwa nini wanga, wachawi na mizimu huwa kuonekana kwake ni usiku tu?
Kila nikisikia stori za haya mambo ni mtu alikuwa amelala usiku, usiku watu walikuwa wanapaa na ungo ndio likatokea jambo...
Mapato yanayopatikana kwenye malipo ya maji si yangeboresha upatikanaji wa maji, na kama inawezekana wafanye utafiti wa kuchimba visima vikuu vya kila wilaya kuliko kusubiri maji ya mto Ruvu maana...
Huwa nawatazama kwenye tv mmenawiri mnapendeza kweli. Mnaongelea masafa/frequency kila leo. Kuna ishu ya hawa wapigaji wa mitandao. Wapo wengi ila leo nitaongelea hawa wa mesejo za "ile hela tuma...
Kelele za matangazo zimekuwa kero na zinaongezeka siku hadi siku katika maeneo ya makazi. Ubaya wa matangazo haya hayajari muda wa kupita.
Asubuhi na mapema kuanzia saa kumi na moja na nusu...
Habari muda huu, natumaini nyote ni wazima wa afya, mimi ni mmoja kati ya maopareta vibarua katika bandari ya DSM ambapo kwa sasa ipo chini ya Dp World.
Kiuhalisia tunapitia mazingira magumu ya...
Kwa kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita usafiri wa meli umekuwa mgumu sana, mpaka sasa meli hiyo haifanyi kazi imesimama pale Nyamisati na raia tunapata sana shida ya usafiri mpaka...
Naomba Serikali isiendelee kufumba macho na kushindwa kutatua tatizo hili ambalo linaweza kupelekea vifo huko mbele.
Mtaa wa La Leo kuna barabara ambayo Ina sehemu ya kuvuka kwenda Tandika...
Ajira uwapa watu pesa ya kula
Kujenga mtu mpaka akope
Ajira iko well calculated ili kuua akili ya waajiriwa wasiwaze nje ya box
Ukitaka kujua ajira utapeli mtu anayelipwa 1.2 million per month...
UTARATIBU MBOVU WA UREJESHAJI ADA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM:
Nilifanya application ya kusoma evening program chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) college ya Journalism and Mass communication...
Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai:
"Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa...
Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana.
Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama.
Ikumbukwe kuwa kwa...
Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi.
Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi...
Mzabuni wa bei nafuu alitenda Dola 263 Wakamchukua wa Dola 478.
Kwa Hali hii Masanja anapendwa kuwa Ofisini Kwa Ajili ya nini?
Hawa wezi wasiishie kufutwa kazi tuu Bali wafikishwe Mahakama...
Kuna mahala unaweza kwenda kuishi / kukaa siku kadhaa kufanya mambo yako / kusalimia , kuchill, n.k. ila ghafla ukajistukia uwepo wapo unavumilika tu, hawana time na wewe, n.k.
Kisa cha kwanza...
Binadamu ni kiumbe cha ajabu, hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha.
Jambo muhimu ni kuwa na stahmala, kuvumilia jinsi unavyoshambuliwa, kupingwa, kukosolewa au kutukanwa kwa jambo ulilofanya...
Utandawazi tunauvulia nguo na kuuoga kisawasawa bila kuzingatia misingi. Leo hii wananchi wengi wanapendezwa,kuhamasishwa,kutamani utajiri pamoja na matajiri hasa kwenye mali za kujionesha na...
Wanajamvi habarini za asbh na polen na harakat za kupambana na umaskini.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa nimekuja kwenu wataalamu wa kunzisha NGO zisizo zalisha faida lkn zenye tija kwa jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.