Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anonymous (3505)
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi...
2 Reactions
10 Replies
836 Views
Katika nchi hii kuna watu hujui wanapambana na nini. Usidanganywe na jinsi baadhi ya wasichana wanavyojipiga picha na kupost makalio yao kwenye mitandao ya kijamii. Wengi wao huwa wamevunjika...
11 Reactions
18 Replies
876 Views
Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa. ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa...
1 Reactions
15 Replies
791 Views
Nilituma pesa tangu juzi saa mbili jioni, lakini cha kushangaza sms ya malipo kwangu haikuja na wala kwa niliyemtumia pesa haikumfikia pia. Wakati huo huo huku salio langu linaoneshwa nimekatwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Habari wana jambi. Mimi mfichua maovu naomba kuwaa taarifu wa Tanzania wote na wadau wa Sanaa kuwa Hii kampuni inayoitwa Kismaty media yenye maskani yake ARUSHA mtaa wa Sakina ambayo mkurugenzi...
2 Reactions
16 Replies
788 Views
Kiongozi huyo mwenye miaka 85 yuko hoi sana kitandani na muda wowote anaweza kuaga dunia. Kwa sasa anayetarajia kupokea kijiti ni mtoto wake au mwingine atakayechaguliwa. Taarifa hizi zimekuja...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
[/B] Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akipokea tuzo ya 'Benki Bora Tanzania' kutoka kwa Joseph Giarraputo, Mwanzilishi na Mhariri Mkuu wa Global Finance, katika...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Wakati utekelezaji wa mradi wa Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ukiendelea katika hatua mbalimbali, lakini wanaharakati pamoja na baadhi wananchi wanaonekana kuendelea kukosoa...
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Familia yako ukiijali na kuipa kipaumbele ni baraka ,na jambo jema.Kuna baadhi ya wazazi hutelekeza familia zao na kutozipatia matunzo na malezi. Wengine hubagua watoto na kuwatelekeza watoto...
3 Reactions
8 Replies
358 Views
Peps imegeuka soda ya hovyo ladha mbovu mdomoni chumvi km sio chumvi,kidonge km sio kidonge peps wamepatwa nn au wanatumia maji ya bahari kujaza kwenye chupa
4 Reactions
18 Replies
481 Views
Habari za Muda huu wanaJF, Kuna kitu napenda kufahamu kuhusu UCHAWI WA MONDESTA. Origin yake niwapi na pia unatumia majini ya chuma ulete au? Nauliza hivyo maana huku mtaani kwetu asilimia 70 ya...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Njooni mbishe kama ni uongo.Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana.Anapoona jinsia ya kike iwe ni picha au mwanamke halisi ambaye ni mrembo ataishia kumsifia na kumtamani bila hata kijiuliza background...
4 Reactions
36 Replies
848 Views
Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani...
10 Reactions
80 Replies
3K Views
THE MOST DOMINATING TRIBES IN EACH AFRICAN COUNTRY 1. Algeria [emoji1026] - Arab-Berber (primarily Arab) 2. Angola [emoji1029] - Ovimbundu 3. Benin [emoji1047] - Fon 4. Botswana [emoji1052] -...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwa msioifahamu Paypal n huduma ya kutuma na kupokea hela kutoka nchi moja hadi nyingine! HQ yake iko US! Afrika hii huduma iko nchi 12 ambazo ni 1. Algeria, 2. Botswana, 3. Egypt, 4. Kenya, 5...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ilianza Stendi ya Dodoma na Sasa ni Soko la Ndugai limegeuka kuwa makazi ya popo baada ya wafanyabiashara kulitelekeza Kwa sababu hakuna biashara eneo lilopojengwa. Nawakumbisha tuu huu...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Naona azam TV wana fursa pale kwenye behewa za sgr kuliko kila siku watu kuangalia ile royal tour kila siku ambayo imekaa kisiasa zaidi zile behewa zingechapwa azam tv tuu shughuri iishe.
0 Reactions
6 Replies
204 Views
Unapiga namba unaambiwa inatumika Unarudia namba hiyo hiyo kupiga unaambiwa haipatikani Unapiga tena mara ya tatu simu inapatikana lakini haipokelewi Unapiga kwa mara ya mwisho unampata mtu...
4 Reactions
26 Replies
539 Views
Back
Top Bottom