Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada...
1 • Unahitaji Pesa Ili Uishi Comfortable.
2 • Watu hawajali matatizo yako. Wanajali vile unavyoweza kuwasaidia wao watatue wakwao.
3 • Kujiajiri na kuanzisha stable business ni kazi ngumu...
Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu
Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani...
MTU unapata dili ambalo litakupa mil 50 Kwa miaka miwili then unalikataa kisa eti job security!?
Yaani Kijana unakimbilia kufanya Kazi kijijini ya ualimu ambayo itakupa mil 7 Kwa mwaka huku...
Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu.
Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia...
NA THABIT MADAI, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba, Serikali itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji...
Kijana mmoja ameporwa simu barabrani tena kwenye service road wakati anaongea,
bodaboda kaipitia kama kipanga,
wakati jamaa anapiga kelele huku anafukuzia akakutana na kijiwe cha bodaboda mbele...
Nimekutana na huu mjadala mahala.
Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini.
Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu...
Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali.
Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo...
Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani.
Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha Dar.
Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
Wakubwa, kwema?
Naomba msaada wa hii ndoto, imeota nikiwa nakula (vingine sikumbuki).
Cha ajabu ni ndani ya dakika 17 tu nilizopitiwa na usingizi, hii imekaaje?
M
Mbunge wa zamani wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Sugu ametoa siri kuwa alifikia hadhi ya kuwa millionea mwaka 1998 kipindi hicho akiimba muziki na baadae akafanya biashara na kufikia...
Kimsingi wamevurugwa.
1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu.
2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali.
3. Mtu aliyeanza kujipata...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha.
Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua...
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'.
Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo.
Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti...
Wiki ya nne sasa chaneli 322, St Kassi Music, haipo hewani.
Waliiondoa kabisa ila nilipowapigia na kulalamika wakairejesha isomeke tu lakini haifanyi kazi.
Jana kifurushi kimeisha, nikatuma pesa...
Ughonile..
Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo.
Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.