Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida.
Kwa nini?
Wao wanatusababishia vita huku...
Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana .
Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
Hivi Serikali inafikiria nini hii kero ya maji ambayo imekuwa janga kubwa kwa wakazi wa baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam?
Yale marekebisho ya Ruvu juu bado hayajaisha na ni mwezi mzima sasa...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko...
Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili
TCRA watunge...
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano...
Habari za weekend wakuu.
Kuna ndoto nimeiota usiku wa kuamkia leo imenishangaza kidogo na sijaelewa inanipa ishara ya jambo gani nikaona niwaulize humu watu wenye uelewa wa haya mambo ya ndoto...
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi
Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina...
Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao..
Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya...
Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa...
hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k.
dunia ni katili sana
Si kila hali ngumu huwa inapita
wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la Leo.
Lengo la vyombo vya habari, ni kuihudumia jamii, ukikutana na jambo fulani zuri, linawezeza kuisaidia jamii, unaliandika ili kushea na...
Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka...
SALAMU ZIWAFIKIE WENYE ROHO ZA-KUKUNJA
Katika hali isiyo yakawaida watu wa jamii forums wamekua natabia zakukunja sana hasa linapokuja swala la kumsaidia mtu
Jamii forums tunaamini kunawatu...
Asilimia 80 ya wakina dada wa migahawa mmekuwa ni wachafu sio tu mazingira hata usafi wa mwili badilikeni uwezi kumuhudumia mteja huku umejifunga kanga au kijora kichafu miguu imepauka
Ebu...
Kuna mchezo mpya siku hizi kina mama hasa wenye nyumba za kupanga huwa wanawafundisha mabinti kujenga ukaribu na wapangaji wa kiume ili kuingia vyumbani mwao kuangalia tv, kuomba kuwafanyia...
Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio...
Habarini wanajamvi, nimewiwa kuuliza swali hili ili nipate ufafanuzi.
Mimi ninasoma degree NIT, nime retake somo mwaka huu wa pili, na pia nina mkopo kutoka loan board.
Je, ku retake huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.