Wakuu, nina umwa sana wapendwa. Ninasumbuliwa na uric acid. magoti yako hoi.
Nilitaka kuandika wosia,kwa ajili ya mali zangu kidogo nilizo nazo.
Mashoga zangu kama sio mashosti zangu wame nionya...
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na...
Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA.
Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa...
Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇
Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa...
Wakuu habari, poleni na majukumu ya hapa na pale.
Umepewa 5,000,000 na umeambiwa uchague kuanzisha kati ya biashara zifuatazo.
Uuzaji wa chuma za aluminums na vifaa vyake
Duka la simu na...
Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi...
Habari zenu wakuu,kama ilivyo kawaida JamiiForums ni home of great thinkers,naamini kwa hiki nitakacho kiandika hakito mkwaza mtu na hata mtu aki comment kitu itakuwa imenisaidia kwa namna moja...
1. Akaunti ambayo itatumika kulipia bills. Hii akaunti mnakubaliana muwe mnaweka kiasi gani kwa mwezi kila mmoja.
2. Saving akaunti. Hii ni ya pesa zenu za saving ambapo itatakiwa kusainiwa na...
N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi
Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia...
Bahati mbaya kila mtu siku hizi ni Mchambuzi wa soka ndio maana mijadala imekuwa mingi kwenye vitu ambavyo viko wazi kabisa...Bao la Baleke sio Offside!
Labda mjadala ingekuwa performance ya...
Habari,
Halmashauri ya Mkalama kwa muda mrefu Barabara za mitaa hazijachongwa kwa baadhi ya maeneo na hii imepelekea kero hasa kwa wakazi Wa maeneo hayo hata kupata ugumu wa kupita na mizigo...
Imeelezwa kuwa program tumizi (Application) 55 zinazotumika kutoa mikopo mitandaoni hazitambuliki na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limemkamata na kumfikisha mahakamani Haruna Ayubu Rubai (63), Mwalimu wa dini ya Kiislamu na Daktari wa viungo anayemiliki kituo chake cha mazoezi ya viungo Bukoba...
Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo
Vidogo au kampuni za kufanya printing.
Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora ...
Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
Huyu kaka ni mtu mpole mcha mungu na mtu wa watu hana makuu hana baya na mtu, mtu wa tabasamu lisiloisha tena kutoka moyoni hana chembe ya unafiki na Mungu kambariki hekima kamwongezea na vingine
Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa.
Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.