Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo...
0 Reactions
2 Replies
179 Views
Dar es Salaam WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za kinidhamu...
0 Reactions
2 Replies
291 Views
Kama ilivyo chumvi kwenye mboga, ndivyo ilivyo umhimu wa madalali! Nilikuwa nawachukia sana madalali hapo mwanzo, lakini baada ya kutuliza kichwa sawasawa hawa jamaa nimegundua kumbe udalali ni...
3 Reactions
10 Replies
741 Views
Habari wadau mko njema mko poa kila mtu basi ni vizuri, kwa mwenye changamoto yoyote Ile MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA Wadau Niko na mada hapa au dukuduku langu ni Iko hivi Huwa natamani sana nirudi...
1 Reactions
7 Replies
231 Views
Kwa sku moja ubongo wa binadamu uweza kugenerate mawazo karibia elf 70 na kati ya hayo asimilia zaidi ya 70 ni mawazo potoshi, kwahyo naomba ndugu zangu tuwe makini na kila jambo ambalo unafakiria...
5 Reactions
11 Replies
249 Views
Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania, Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi Shlomoh - Suleyman (Sulemani)...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Tujaribu kuwa na moyo wa kutunza siri mazingira tunayo yakuta huko misibani kutangaza uliyoyaona baada ya kurudi unamuweka mfiwa katika wakati mgumu baada ya kurudi katika makazi yake Enyi...
38 Reactions
81 Replies
3K Views
Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi...
1 Reactions
14 Replies
616 Views
Habari wana JF, Kuna ndugu yangu anataka kwenda Italy na kwa bahati mbaya hajui na wala mimi sijui bei ya nauli. Hivyo nikaona ni vyema niulize humu nikiamini kabisa kuna watu wenye ufahamu wa...
2 Reactions
41 Replies
13K Views
Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya...
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kujenga nyumba zenye uhitaji katika maeneo ya mijini. Mhe. Pinda ametoa kauli...
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya Sekta ya Nishati nchini ili kuwezesha wananchi...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje? Je Atheists wanaogopa...
2 Reactions
20 Replies
541 Views
“Tumezindua rasmi kampeni hii ya Mtoto ni Mboni yangu ambayo itafanyika mwezi Novemba katika Mikoa yote mitano ya Zanzibar kwa maana ya Unguja na Pemba na lengo la Kampeni hii ni kutokomeza...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Inasemekana, magereza ya Tanzania ni tofauti sana na ya Ulaya na nchi zingine "zilizostaarabika". Mfungwa wa Ulaya hukoseshwa uhuru tu wakati wa Tanzania hunyimwa karibia kila kitu: uhuru na...
7 Reactions
43 Replies
1K Views
Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani Ila mimi ninasema ninachokiamini According to the bible Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu Na hakuna wakuzuia sio...
6 Reactions
40 Replies
534 Views
Benki ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa majengo 16 ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kampasi Kuu Butiama kupitia mradi wa Elimu...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
Ni ukweli usiopingika kwamba wafanyabiashara wana pesa nyingi, hata ukiangalia top 20 ya matajiri hapa Tz utawakuta wafanyabiashara wamejaa wao hasa wahindi , wasarabu na wasomali, hata baada ya...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Mtwara. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kuwa Bandari ya Mtwara ipo tayari kushughulikia shehena yote ya korosho kwa ajili ya mauzo ya nje katika msimu wa sasa wa uuzaji...
2 Reactions
2 Replies
198 Views
Hili hekalu la mbingu duniani linaanza kuwa tishio kwa akina mwamposa. Huyu profet upepo unavuma kuelekea kwake. Hivi hawa waumini hasa wanawake ni hao hao wapo na makanisa mengine ama wao...
3 Reactions
11 Replies
471 Views
Back
Top Bottom