Kujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
Uhakiki wa taarifa ni mchakato unaohusisha hatua mbalimbali zinazokuwezesha kujua uhalisia wa taarifa au jambo husika.
Ni changamoto gani unazokutana nazo unapohakiki taarifa kutoka mtandaoni na...
1998 nikiwa na miaka 12 kijijini kwetu alikuja kijana mmoja kutoka mkoa mwingine, alikuja kutafuta maisha.
Alisema baada ya miaka 10 atawapa watu vibarua. Alifika hana kitu, kibarua chake cha...
MWILI WA MTOTO ALIYEGONGWA NA GARI LA WENYEKITI WA UVCCM MKOA WA KAGERA FARIS BURUHAN WAZIKWA,SIMANZI KUBWA YATAWALA KWENYE FAMILIA YA MWANAFUNZI HUYO.
Mwili wa MWANAFUNZI Revina Kaumbya...
Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti.
Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa...
MSAFARA WA FARIS WAUWA WATOTO WAWILI KAMACHUMU MULEBA.
Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Biruan umewagonga na kuwauwa watoto wawili huku wengine wakijeruhiwa.
Ajali hiyo...
Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan.
Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko.
Wanajua #freepalestine ni utapeli
Hello guys!!
Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.
Mbezi, Kimara, Ubungo...
Hii ni bei ya vifurushi vya internet kwa mitandao ya simu ya Vodacom, TIGO, Halotel na AIRTEL kwa gharama ya shilingi 500 kwa siku ya leo trh 11/02/2020.
Kwa shilingi 500 utapata
MB150 (AIRTEL)...
Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu...
Wakuu habari za asubuhi. Naomba mwenye experience ya kulipia na kutumiwa mzigo na hawa jamaa wa kuitwa Tunzaa online shop, wana application yao pia wapo kwenye app ya mpesa. Kuna jambo nithibitishe.
Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa.
1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi...
Wadau nawasalimu kwa jina la Bwana.
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuanzisha mifumo ya kielektroniki kwa ajili ya kurahisisha utoaji wa huduma...
Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa.
1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi...
Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye...
WAJUE NDEGE
NDEGE ni aina ya mnyama. Tofauti ya ndege na wanyama wengine ni kwamba ndege ana mabawa yanayomwezesha kuruka angani aidha ndege hutaga mayai.
Ndege wako wa aina nyingi...
Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa...
Muda mwingi nimekuwa nikikaa na kuwaza kuhusu hili swala la vijana wengi kuwa na tamaa. Tumekuta vijana wengi wakiwa wanaingia katika wimbi kubwa la majanga na hasa ni tamaa,
Tamaa imefanya vina...
Wasalaam katika Jina la Mwenyezi Mungu....
Moja kwa moja kwenye mada...
Tupo duniani kwa Neema ya Mwenyezi Mungu (upendo wake kwetu).
Tupo duniani ili kumpendeza yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.