Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Japo wengi hawataki kuongea, Hanscana kaongea ukweli Kuna age ukifika lazima uwe mtu WA kuforce mazingira.
0 Reactions
3 Replies
270 Views
Habari ya kutwa nzima wana jamvi. Jioni ya Leo Majira ya saa maja jioni nimeshangaa sana baada ya kuangalia angani upande wa mashariki na kuona vitu mithili ya nyota vikipita, ukivichunguza kwa...
7 Reactions
89 Replies
3K Views
Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex. Je, kuna ukweli wowote katika hili? We starehe U Hobby...
26 Reactions
347 Replies
13K Views
Wamama wajasiriamali wanalia kila kona. Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni. Je huu ni utaratibu?
4 Reactions
23 Replies
467 Views
Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc. Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya...
1 Reactions
8 Replies
626 Views
Ndugu zangu waislamu, nimekuwa nikitembea maeneo mengi sana, misikiti inajengwa hata sehemu kusipokuwa na waumini wa kuswali ndani ya misikiti hiyo. Muda wote inakaa imefungwa tu, misikiti...
10 Reactions
79 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii...
65 Reactions
175 Replies
7K Views
Hello, Hii kero inanikela sana kila sekta wanataka cheti cha kuzaliwa hawahamini kama nimezaliwa.
2 Reactions
6 Replies
277 Views
The meaning of Gospel is Jesus plus nothing equals everything. John 19:30
2 Reactions
4 Replies
182 Views
Wakazi wa Wilaya ya Iramba na Mkalama, Mkoani Singida, wanatarajia kunufaika na barabara ya kiwango cha lami inayojengwa kuunganisha mikoa ya Singida, Simiyu, hadi Arusha. Mradi huu, wenye thamani...
1 Reactions
5 Replies
350 Views
Huwa kunakuwa na maneno mengi sana kwa watu wanaoishi mjini wakiwa na mafanikio hata kidogo huku nyumbani kwao kukiwa bado duni mfano bila nyumba nzuri ya wazazi. Hiii hutokea rafiki zao...
3 Reactions
10 Replies
314 Views
Wadau kama heading inavyojieleza muda huu Kigamboni mnadani nimeshtushwa kutoka usungizini na milio mikubwa kama minne sijui kuwa risasi au mabomu. Mdau mwenye info yoyote aiweke hapa maana hadi...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Emilian Makalla (46) Mkazi wa Bigwa Barabarani wilaya ya Bigwa Mkoani Morogoro amejinyonga kwa kutumia chandarua na kufariki dunia nyumbai kwake huku...
0 Reactions
2 Replies
267 Views
Kuna mtu mitaa ambayo ninafanya Biashara zangu, kwa mtazamo wangu amenizidi kwa kipato na Mali. Sijajua kuhusu Elimu ya Darasani. Ila nasikitika kua Huyo mtu amejiua, Sasa nikajiuliza kama pesa...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?
1 Reactions
7 Replies
340 Views
Hapa Tanzania hakuna mkoa ambao ni mgumu kutoboa Kama DSM na pia hakuna mkoa ambao ni rahisi kutoboa Kama DSM. DSM ndo mkoa ambao unamkuta MTU anasukuma gari ya mil 400 Na ndo mkoa unamkuta MTU...
15 Reactions
52 Replies
909 Views
Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya...
2 Reactions
13 Replies
875 Views
Nashindwa kuelewa sijui hawa watenda kazi wa hii DAWASA kuanzia viongozi hadi watenda kazi wa chini mmeshindwa kabisa kupata njia mbadala ya kuondoa hizi changamoto za huduma ya maji jijini dar es...
1 Reactions
3 Replies
256 Views
Kesi ya mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa...
1 Reactions
1 Replies
632 Views
Back
Top Bottom