Megan Garcia ameshtaki Google na kampuni ya akili Mnemba inayohusika na "Chatbot" kwa madai ya kuhusika katika kifo cha mwanaye Sewell Setzer (14)
Inadaiwa Sewell alikuwa akiwasiliana kimapenzi...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya...
Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi?
Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto...
Wanabodi,
Mimi mwanabodi mwenzenu, niko mitaa ya Masaki kwenye Makao Makuu ya Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kuwaleta live hafla ya utoaji wa Tuzo za VIA za TotalEnergies kwa ushirikiano na...
Simu janja zaidi ya mia moja na ishirini ambazo zilikuwa zikitumiwa na wanafunzi kinyume na sheria kwa kuwasiliana na kutumiana picha za ngono zimekamatwa katika shule ya sekondari mkoani Tabora...
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam Awamu ya Pili (DMDP Phase II), umepanga kutumia Tsh. bilioni 290 katika uimarishaji na...
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Ukisoma maandiko kitabu cha mwanzo kwenye habari za nuhu aliyejenga safina maandiko matakatifu ya biblia yanatumbia kuna malaika walimkosea Mungu wakaja...
Tausi Afrika Yazindua Mfumo wa Kiotomatiki wa Uchambuzi wa Kifedha kwa Kutumia Akili Bandia
Kampuni ya Tausi Afrika imeleta mfumo mpya wa uchambuzi wa kifedha uitwao MANKA, ambao unatumia...
Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024 Lakamilika: Je, Wananchi Wanasemaje?
Mnamo Oktoba 20, 2024, zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za...
Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa.
Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom...
Kumekuwa na kero ya muda mrefu sasa katika daladala za Mbweni jambo ambalo limekuwa usumbufu kwa abiria
Kwa mujibu wa LATRA route ya daladala za Mbweni ina Njia mbili
1. Kuna daladala...
Nina pikipiki Boxer X150 nataka nitumie kama usafiri kutoka Dar kwenda Moshi Mjini, nipeni ushauri muda mzuri wa kuanza safari, sehemu za kupumzika, nimwage oil kila baada ya Km ngap?
NB...
Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni...
Siku ya leo jioni kumekuwa na taharuki baada ya watu kuona vitu vilivyopita angani mithiri ya nyota zinazoongozana katika mstari mmoja, wapo waliodhani ni nyota, wapo waliodhani ni vimondo, mpaka...
Noble Helium imetangaza kuchagua maeneo matatu ya kwanza kwa uchimbaji katika Mradi wa North Rukwa ikiwa ni hatua muhimu katika kuchunguza uwepo wa gesi kwenye maeneo yenye kina kifupi.
Maeneo...
Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu.
Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika...
Foleni!! Foleni!
Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama...
Umepata Changamoto gani wakati umetumia usafiri wa Bolt, Farasi au Uber?
Juzi kati hivi niljikuta katika migogoro moja na dereva wa bolt, Nilipanda bajaji kutoka palm village nikiwa naelekea...
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.