Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Heshima kwako Mkuu Dkt. Gwajima D Vyanzo vyanzo vya uhakika vimenipa taarifa za Mwalimu wa Shule ya Istiqaama huko Nzega kutuhumiwa kuingilia watoto kimwili. Vyanzo vimesema taarifa hizo...
4 Reactions
8 Replies
435 Views
Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri. Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka...
22 Reactions
277 Replies
7K Views
Katika nchi yetu ya Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingi nyingine, michezo, hasa mpira wa miguu, ina nguvu kubwa katika kuvutia na kuunganisha watu. Timu za mpira wa miguu kama Simba na Yanga...
2 Reactions
4 Replies
391 Views
Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi; Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu; Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI...
3 Reactions
11 Replies
668 Views
Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao...
0 Reactions
3 Replies
218 Views
Kampuni ya mawasiliano Tigo upande wa huduma ya miamala mnatukwaza sana. Nashangaa inakuaje nataka pesa zangu hampatikani. Yaani mnaudhi mnakera
3 Reactions
7 Replies
201 Views
Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu. Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali...
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Wakuu mambo vipi? Nawasogezea mada hapo ni hivi kati ya Gongo la mboto (Goms) na Mbagala(Mbajara in mateja voice) je ni sehemu gani ina watu(nyomi) wengi kuliko mwenzie ukija na hoja yako weka na...
26 Reactions
272 Replies
24K Views
Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili...
4 Reactions
12 Replies
278 Views
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA IRAN SEKTA YA MICHEZO Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya kushirikiana na Serikali ya...
7 Reactions
143 Replies
4K Views
Kuna vitu hutakiwi kushawishiwa ili uamini. Maskini mmoja jirani yetu kujenga nyumba lakini ana deni la bati pia fundi mjenzi hajammalizia fedha yake. Basi terehe 15 October ya 2024, wiki...
9 Reactions
26 Replies
960 Views
Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha. Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha endapo safarini kuna vicheko...
30 Reactions
103 Replies
5K Views
Hii Kali Kuliko: MAKOSA (mkazi wa Iringa) ATANGAZA KUJINYONGA KWA KIINGILIO, ALIKUWA MFANYABIASHARA MAARUFU SANA MJINI IRINGA Katika mazingira ya kutatanisha Makosa ametangaza kujinyonga katika...
2 Reactions
70 Replies
12K Views
JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa...
3 Reactions
3 Replies
732 Views
Wanawake wanaoshtakiwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja Mwanza na kuvishana pete ya uchumba wamefikishwa Mahakama kuu leo. Wamekana mashtaka yote waliyosomewa ambapo wamerudishwa rumande...
4 Reactions
351 Replies
72K Views
Kwa muda mrefu sasa, wachezaji wa soka wa kike hapa Tanzania wamekuwa wakikumbana na maneno ya kashfa kuhusu muonekano wao, ambapo baadhi ya watu hudai kuwa wanajiweka kwa mtindo wa kiume, hali...
3 Reactions
8 Replies
575 Views
Wakuu hivi mshahara umetoka? Kwa wanaoutumia benk ya NMB mshahara umetoka? Au ndiyo nill wote kama mimi?
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari za masiku tena, mwana JF. Mara nyingi, tuwapo hapa Tanzania, tunaamini wengi wetu waliopo nchi zilizoendelea, i.e. Europe au U.S.A., wameshaagana na matatizo; kazi yao ni kuokota tu...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na...
26 Reactions
91 Replies
7K Views
Ukiwa mfatiliaji wa nyuzi nyingi utaona jinsi hili vazi la kanzu na viatu aina ya kobazi vinavodharauliwa na baadhi ya waumini wa dini ya kikristo, je hili wanalifanya bahati mbaya bila kujua au...
4 Reactions
26 Replies
499 Views
Back
Top Bottom