Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32. Kwa kikokotoo hiki kipya 1 atalipwa keshi tshs ngapi? 2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua...
14 Reactions
138 Replies
19K Views
FILAMU ZA KIMKAKATI KUANDALIWA KUELEZEA UTAMADUNI NA VIVUTIO VYA TANZANIA Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu @tanzania_film_board na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati...
1 Reactions
5 Replies
274 Views
Salamu Wakuu. Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni...
5 Reactions
14 Replies
751 Views
Tatizo linaonekana pia kwenye picha niliyoambatanisha. Unawezajiuliza walikusudia nini kuleta hii huduma ambayo sasa badala ya kumrahisishia mwananchi huduma imekuwa kikwazo mwananchi kupata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nilipoteza kitambulisho changu cha ajabu nilienda kituo cha polisi nikafata loss report maana nafahamu ni 500 tu Cha ajabu naambiwa niende stationery ya nje kufika naambiwa ni elfu tano za...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni hivi, loss report inapatikana online mwanzo mwisho. Huna haja ya kwenda kituo cha polisi kupanga foleni. Mwanzo swala hili lilikua kama ni nightmare coz lilikuwa linainvolve alot of excessive...
11 Reactions
37 Replies
7K Views
Huu ujumbe uwafikie wahusika wa Dawasa popote mlipo. Dawasa leo ni week ya nne wakazi wa Ubungo kibangu hawana maji wanayafata mabibo na tabata. Leo ni wiki ya nne wakazi wa kibangu juu hawana...
1 Reactions
12 Replies
871 Views
Anonymous (da47)
Habari wanafamilia wa JF, Niende moja kwa moja kwenye hoja: Kumekuwa na shida ya makusudi ya upatikani wa Maji katika eneo la Ubungo Kibangu na maeneo jirani kama Riverside. Hapo awali maji...
3 Reactions
10 Replies
478 Views
Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500. Imekuwa ni kawaida kwa...
0 Reactions
23 Replies
581 Views
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM...
1 Reactions
5 Replies
599 Views
Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki. Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake...
42 Reactions
169 Replies
11K Views
Nilitoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine Jamani Chanika ni mbali tena mbali sana, wanaokaa huko na wanafanya kazi...
50 Reactions
182 Replies
13K Views
Baadhi ya nchi za Afrika zinaongoza kwa kuwa na bei nafuu za mafuta, hali inayosaidia kupunguza gharama za maisha na kutoa afueni kwa wananchi dhidi ya changamoto za kiuchumi. Licha ya changamoto...
2 Reactions
0 Replies
262 Views
Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili..... Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials) Walichora...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
Habari wanajamvi? Ni ndoto ya kila mmoja kati yetu kwenda kwenye nchi anayoipenda iwe ni kusoma, kutalii au hata kutafuta ridhiki(kufanya kazi). Niukweli usiopingika kwamba kumekua na...
19 Reactions
656 Replies
133K Views
Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya...
11 Reactions
134 Replies
7K Views
Jirani yangu anataka mwakani kugombea udiwani kupitia CCM. Ila hajajua utaratibu gani ufuatwa kuanzia kuchukua form?
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Baada ya SGR Kuwapelekea moto Matajiri wa Mabasi ,Sasa wameamua kurudi kwenye route ambazo walizotelekeza. Ikumbukwe bwana Shabiby Line imewahi kusafiri hii route ya Swax-Dom Kwa mda mfupi kabla...
3 Reactions
8 Replies
853 Views
Back
Top Bottom