Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Mwanamke mmoja anayekwenda kwa jina Milembe ambaye ni Afisa wa mgodi wa Geita anayehusika katika kitengo cha manunuzi amekamatwa na jeshi la polisi kwa kosa...
Wakuu kwema?
Niwe mkweli, siku hizi kiwango cha uaminifu kimeongezeka sana hasa kwenye pesa. Sijajua sababu.
Unaweza kukutana na mtu hamjuani ukamuachia pesa nyingi bila maandishi na kazi...
Siku ya Umoja wa Mataifa huadhimishwa Oktoba 24 kila mwaka ikiwa ni lengo la kukuza Amani, Usalama, Ushirikiano kati ya Nchi na Nchi na Maendeleo ya Haki za Binadamu duniani kote.
Hati rasmi ya...
Kinachotokea ulaya hakijaja kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya watu kukataa mfumo wa asili wa ndoa ya mwanaume na mwanamke
Asilimia kubwa ya mafeminist ni wasagaji na asilimia kubwa ya wanaume...
Ukiachilia mbali aibu kwa kampuni kubwa kama ya Pepsi kuwa na magari mabovu lakini pia yanahatarisha maisha ya watumiaji barabara wengine.
Asilimia kubwa ya magari wanayotumia kufanya delivery...
Wakuu salama!
Kwa masikitiko makubwa na baada ya kujishauri kwa muda mrefu nimeamua hili kulileta hapa jukwaani pengine hili suala laweza patiwa ufumbuzi.
Ni Hivi Kuna mtu alikuwa anamiliki...
DJ Bonny Luv(kushoto) akiwa na Ahmir Khalib Thompson aka QuestLove Drumer kutoka kundi la The Roots.QuestLove ni DJ,Producer,mwandishi wa muziki nk.Miongoni mwa artist maarufu ambao amewahi...
Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa...
Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko.
Nawasilisha.
Wanaume wenzangu ukiwa bado unataka kuishi, lakini umeshagundua kwamba ulioa feminist bila kujua mbinu za kuishi nae kwa amani ili asikuletee madhara ya haraka au kukuua ni 5.
1. Jitahidi sana...
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.
Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.
Ameua ndoto za...
Hakuna anaeweza kulipa fadhila alizotendewa hata kidogo, ila unachoweza kufanya nikua mwema au kunlmtendea mema aliekutendea wema.
Baadhi husema kauli " Kulipa fadhila", si kweli, imagine mtu...
“Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze...
Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano...
Mvinyo ni uleule kilichobadilika ni chupa tuu...
Chama dola kilifanya figisu ili vyama visiwe na vikundi vya ulinzi...Na sheria ikapitishwa kwenye hili...Hii yote ilitokana na chama kikuu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.