Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hilo ni swali kwa jinsia zote yaani Me na Ke , Uhalisia ulivo kwanza kwenye mahusiano asikudanganye mtu kua uko peke yako , mwanamke au mwanamme akikueleza uko peke yako huo unakua uongo wa wazi...
3 Reactions
12 Replies
437 Views
Mhadhara - 47: Inakera!! Siku hizi hakuna raha ya kutumia smartphone, ukifungua APP yoyote kwenye simu (kabla hukuendelea na mambo mengine) unaletewa matangazo ya biashara, na matangazo mengi ni...
2 Reactions
12 Replies
388 Views
naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya...
6 Reactions
18 Replies
506 Views
Ujomile? Nimeona hizi taarifa mbili tofauti nikapata swali moja, je na hawa walioandikishwa na daftari kupotea wamo?. 👇🏾👇🏾
1 Reactions
15 Replies
8K Views
1.)Toyota Brevis - ai Series / Mark X Madereva wa magari haya hujisikia very powerful and classic wawapo barabarani, hii inatokana na gari hizi kufungiwa engine kubwa mithili ya fuso ndogo na...
55 Reactions
271 Replies
63K Views
Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa...
1 Reactions
3 Replies
284 Views
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli. Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli...
2 Reactions
13 Replies
601 Views
Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye...
35 Reactions
98 Replies
9K Views
Tuchekeche vichwa kidogo Muuza nguo anapewa nguo za kuuza kwa makubaliano ya kurejesha pesa ya nguo atazoweza kuuza, kapata mtaji wa kuanza kununua nguo zake, hivyo kuna baadhi ya nguo anaendelea...
0 Reactions
5 Replies
334 Views
unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so...
1 Reactions
3 Replies
152 Views
Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu...
2 Reactions
10 Replies
292 Views
Don't get me wrong hukufanya kosa kujenga maana kwa wengi wetu hela ya kujenga huwa tunaidunduliza kidogo kidogo ba kupandisha jengo hadi limeisha.. Lakini kosa ni kwa sasa ambapo mjengo wako...
4 Reactions
12 Replies
339 Views
Ukiwa unatokea riverside kuna daraja kubwa la mto chini ya mto utakuta kuna kundi kubwa la kina mama wanafua kupitia bomba kubwa la dawasco lililopasuka. Kupasuka bomba sio ajabu ila...
1 Reactions
9 Replies
339 Views
Tukiachilia mbali ulaji wa ugali jambo lingine ambalo lina mchango mkubwa kwenye ujinga na umaskini wetu ni kujengewa hofu kuanzia utotoni. Wengi wetu tumejaa hofu hatuna uhuru kabisa wa matumizi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Anonymous (8561)
Kila mvua kubwa inaponyesha kumekuwa na changamoto ya kufurika kwa vyoo lakini pia chemba kuzbuka na kumwaga maji machafu sokoni. Hii inatokana na chemba kuelekezwa mto mirongo. Hivyo mto ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
145 Views
Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu...
0 Reactions
7 Replies
416 Views
VIFUSI VYA BARABARA VYAGEUKA KERO. Vifusi vilivyowekwa kwa muda mrefu bila kusambazwa katika barabara ya Sogea Machinjioni vimegeuka kero na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuiomba...
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu...
0 Reactions
10 Replies
966 Views
Hua tunawaonya, hamsikii. Mchumba hasomeshwi na akisomeshwa apate mafunzo ya sala za kanisani. Jamaa Yuko kwenye majonzi muda huu. Alimkuta binti akiwa anatia huruma kapeleka chuo, binti...
16 Reactions
76 Replies
6K Views
Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom