Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT?
Hiyo huwa...
Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile.
Cha ajabu sikuhizi vimeibuka...
Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania.
Na sababu ya msingi ni kwamba...
Katika Jamiii sasa hivi Kila Jambo unalofanya unalofanya kwa kuvuzia usipokua makini unapoteza/ Kuzurumiwa au kuibiwa.
Ndoa za siku hizo zipo kimaslai zaidi usikurupuke kuoa, utapoteza kila...
Hello everyone....
Hope U mzima....
:TruE stoRy:
Kwa kawaida vijana wengi huwa tuna ndoto ya kuvuka border na kuingia upande wa pili haswa bala la ulaya" nchi za kimagharibi kwa ujumla....
Wala...
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.
Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza...
Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF.
Ikiwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Sabrina Shabani, mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Mbezi Mwisho, baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akimshambulia mtoto mdogo...
DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni...
Habarini wanajamvi natumaini mpo salama.
Kuna hii ishu ya NHIF kuwahi kukatisha muda wa subscription ya BIMA za wanafunzi wa chuo cha UDSM ambapo BIMA zilitakiwa ziishe mwezi wa 11 badala yake...
Wajukuu zangu, umri umeenda, ninawahusia haya!
1. Hakuna mtu anayeheshimu ragi hadi viatu vyake vichafuke, basi kaa kwenye kona yako. Usiombe watu wajue thamani
yako, muda ukifika, hakuna...
Habari,
Nina mtoto nimemlea kwa takriban miaka miwili hivi, nampenda sana uyu mtoto na ndo mtoto pekee nilienae kwa sasa ila njia ya mama yake na yangu zimeenda tofauti na kila mtu na maisha...
Kile ambacho wahindu wanaita "karma", sisi wakristo tunaita "the law of sowing and reaping" - ni Kanuni ya kupanda na kuvuna–Yaani lazima uvune kile ulichokipanda. Usipovuna wewe watavuna watoto...
Habari za muda huu wana JF.
Kumekuwa na mtizamo kuhusu Taifa la Israel watu wakisema ni Taifa la Mungu yaani limeshindikana ulianzishwa nao vita hautashinda sawa unashindana na Mungu ,baadhi ya...
Kwa nchi yetu Tanzania vipigo kwa watoto inaonekana ni jambo la kawaida sana, na huku baadhi wakipongeza jambo hilo kwa kuona ndio msingi bora wa malezi kwa watoto unaowafanya kuwa na maadili...
Wakuu amani ya bwana iwe pamoja nanyi. Wakati tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mtaa kuna wazo limenijia hv ili nife kwa umri aliokufa nao rais Mwinyi natakiwa kuishi tena hapa duniani kwa...
Ninauliza tu hio batch 4 inatoka lini?
Maana ipo hivi :
284.8 - 223.3 = 61.5
Kwa hio hao 17,010 na zaidi ndio wapo hapo, sasa hio batch 4 inatoka lini?
Account zinasomeka :
Your verification...
Kwa muda mrefu wamekuwepo watu wanaoamini uongozi unahitaji nguvu za misuli na kutokana na misuli ya mwanamke kuwa dhaifu kuliko ya mwanamume sio busara kukabidhi uongozi kwa mwanamke.
Watu hawa...
Kila siku kunatolewa taarifa za udhalilishaji baada ya kupungua ndio unaongezaka
Hukumu zinaongezwa lakini bado binaadamu hawashituki na hukumu hizo
Wadau wanaweka makongamano kujadili hili ili...
Naombeni mnisaidie nipate kazi ndugu zangu labda humu jukwaani nitapata msaada
Nimehitimu mwaka 2022 Degree ya maendeleo ya jamii
Nina diploma pia ya maendeleo ya jamii. Nina certificate pia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.