Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'...
Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo.
Ingawa TRC...
Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!!
Mada husika👇🏾
Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili...
Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
Habari ya Asubuhi wana jamii,
Leo Mh. Waziri mkuu anatarajia kufanya ziara mbeya mjini/mbeya city. Moja kati ya kero kubwa hapa mbeya mjini ni bajaji ambazo hazina utaratibu maalumu kama vyombo...
Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya...
Nawasalimu ndugu zangu.
Samahani kwa usumbufu, kaka yangu alipata ajali mbaya sana ya pikipiki akiwa kwenye mizunguko yake.
Aliumia hasa, akapelekwa Taasisi ya MOI, ndugu tumepeleka hela nyingi...
Mwana dada machachari mitandaoni anayejulikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange...
Kwema Wakuu!
Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya...
Enzi hizo tunasoma Songea Boyz tunakwea KISWELE COACH Stendi mnazi mmoja breki ya kwanza Comfort Hotel - Kitonga (Kula dakika 10 Tu) chuma inatambaa. Daah. Hakika miaka imeenda.
**Zamani raha sana
Jamani naombeni ushauli niache kufatilia namba yangu ya NIDA au nikaze moyo toka nimemaliza usajili mwaka 2018 mpaka leo namba yangu haijatoka, ivi shida huwa ni nini?
Neno kigugumizi limetokana na kitenzi kugugumia ambayo ni shida ya baadhi ya watu katika kusema na inakadiriwa asilimia 5-6 inawapata watoto huku asilimia moja ikiwapata watu wazima, wanaume...
Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi...
Wakazi wa Ununio wamesema Kisomo Cha Tanga huenda kikawasaidia kupata barabara yao inayotokea Mnara wa TIGO hadi Makaburi ya Mji Mkuu wa Ununio
Wananchi wamedai kuzibwa kwa ukuta kwa barabara...
Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari...
Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi...
Habari za asubuhi Wanajamvi leo Nina jambo na mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa kuweka mkazo mkubwa kwenye mgawanyo...
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni...
Ni kawaida Miaka ya zamani miezi kama hii ya maandalizi ya kilimo safu za mlima Mbeya/Loreza kuteketea Kwa moto.
Ni Albeit Chalamila aliyeweza kukomesha tabia hiyo mbaya ya kuanzisha moto kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.