Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za asubuhi wanajukwaa. Nikisikiliza habari za magazetini leo nimesikia eti makamu wa Rais Dk. Mpango amewataka wanaofanya utafiti watafiti tatizo la ajira kwa vijana limeanzia wapi. Kama...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Wasalaam Wakuu, Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo 1. Hakuna anayekujali. 2. Sio mkeo. 3. Sio familia yako 4. Si marafiki zako. 5. Sio wenzako...
11 Reactions
21 Replies
586 Views
Naombe kuuliza. Kwenye akaunti yangu ya kuombea mkopo imeandikwa total amount mil3.5 Ada ya kozi ni mil 1.3 Direct University Costs (Payable to the University) 47000. Costs payable directly to...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
WATU watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000. Washtakiwa katika kesi...
2 Reactions
6 Replies
828 Views
Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako...
9 Reactions
114 Replies
2K Views
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 kumebainika kasoro ambazo zinalengo la kuharibu uchaguzi huo kwa baadhi ya wanaoandikisha kujaza majina ambayo wahusika hawapo na...
2 Reactions
1 Replies
223 Views
Hivi karibuni Mbunge wetu wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba alikuja kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello Great thinker wa JF, Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo? Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo? Na vipi kuna...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Inashangaza sana kumuona mtu wa Zanzibar akimbagua mtu wa bara. Zanzibar ni moja ya visiwa vinavyounda nchi ya Tanzania. Zanzibar ina utawala wake unaounda serikali ya Zanzibar. Kiasili Zanzibar...
1 Reactions
3 Replies
952 Views
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee. Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
18 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa...
2 Reactions
9 Replies
498 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole...
9 Reactions
43 Replies
22K Views
Habari ya leo wanajamvi. Wadau maji yamekuwa adimu huku kwetu Kimara kuanzia kibo, Baruti, Korogwe Mnaweza kuongezea maeneo mengine.
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi 😔 1. Maisha sio vita 2. Maisha ndio haya haya tu 3. Pesa hainunui furaha. 4. Utajiri ni dhambi. 5. Kila tajiri ana ushirikina...
2 Reactions
8 Replies
369 Views
Linaitwa terminal 3, pesa za kujenga banda hili zingetosha kujenga viwanja 10 vya taifa, amazing.
11 Reactions
175 Replies
32K Views
miongoni mwa motivation kubwa za binadamu ambazo husababisha afanye kitu chochote kwa ujumla zinaitwa RICE R= inasimama kama Reward ikimaanisha kitu unachopewa au aidiwa akifanya kitu, hivi ni...
2 Reactions
0 Replies
152 Views
“Hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.” –Rostam Abdulrasul Aziz, June 26 2023...
4 Reactions
7 Replies
420 Views
Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Mimi ni mtu najiusisha Sana na sector ya ujenzi na muda mwingi nakuwa field yaani kwenye mazingira ya kazi. Kumekuwa na dhana ya wanasiasa kuwaambia vijana fanyeni kazi Mimi najiuliza hizo kazi...
2 Reactions
7 Replies
268 Views
Kuna suala linalonitatiza na kuleta kero kwa wananchi kama mimi, nalo ni wimbi la mabango yanayoendelea kuwekwa kila kona yakimsifu Rais, kiongozi wa chama tawala, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Back
Top Bottom