Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
14 Reactions
84 Replies
3K Views
Wachina wanaomiliki mashine za kamari (slot machine) maarufu kama 'dubwi' au 'bonanza' wanakusanya kiasi kikubwa cha fedha lakini wanalipa kodi ya Sh 100,000 tu kila mwezi. Uchunguzi uliofanywa...
3 Reactions
7 Replies
828 Views
Jumla ya madaktari bingwa 49 waliotumwa na Rais Samia wamewasili mkoani Arusha, wakipokelewa na uongozi wa mkoa huo kwa lengo la kushiriki kambi ya matibabu ya siku sita itakayohusisha wilaya zote...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Kwa asilimia kubwa ya utamaduni wetu hapa Tanzania mtu anapopitia hali ngumu kiakili huwa ana dhaniwa katika nadharia za kuwa anavuta bangi, ameishiwa (amefulia), anajifanya kujitenga tenga...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Huu ni mwaka wao Ustadhi Shafii aliongoza kampeni ya kumpinga Mwamposa na Dr. Sule sababu ya shughuli zao za uponyaji wa kutumia zana kama mafuta nk Sasa nilichokiona kwenye mdahalo tulioandaa...
7 Reactions
80 Replies
2K Views
Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Habari yako Nyamagana ! Mnaonaje pakijengwa Gari Umeme zenye kutumia reli za waya kuzunguka Nyamagana. 1. Hii ianzie Mkuyuni - Igogo - Mrungushi - Sahara (Main Station). 2. Hii ya pili iwe...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken) HISTORIA YAKE.. Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira...
10 Reactions
13 Replies
6K Views
Nchi nyingi zilizoendelea zina mfumo wa Foster care ambapo ni mfumo unaohusisha kuwachukua watoto kutoka kwenye familia zenye ukatili au walio yatima kisha kuwaweka kwenye familia maalumu...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia katika ajali ya gari baada ya basi la kampuni ya Nyehunge kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Asante Rabi. Ajali hiyo imetokea leo Oct 22, 2024...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwanza tufahamu utaratibu wa milo mitatu(breakfast, lunch na dinner) ni utamaduni wa magharibi ulioibuka karne ya 17 kutokana na mambo mengi mojawapo ikiwa ni mapinduzi ya viwanda yaliyowafanya...
30 Reactions
93 Replies
2K Views
Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi...
0 Reactions
5 Replies
389 Views
Naomba kuuliza swali, nimeona sehemu nyingi baada ya mzazi kufariki, ndugu wanakuja kugombania mali za marehemu alizochuma yeye na mke wake? Je watoto wa marehemu wanakua ni wadogo mpaka ndugu...
1 Reactions
16 Replies
504 Views
Inaumiza sana wakati mwananchi akitumitumia muhamala kupitia simbanking ya airtel unakatwa shillingi 100. Mara nyingi mtandao unaweza kugoma au umekosea lakini unapotaka kurudia makato ni...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Katazo hili sio kwenye maeneo ya mabaa pekee yake bali na maeneo mengine ya Makazi, Viwanda, kwa taarifa zaidi soma 👇:- 1. Hospitali, Shule, Vyuo, Maktaba na Nyumba za Wazee Decibel (dBA 35) 2...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Mamlaka ya usimamizi wa usajili wa majini TASAC katika mkoa wa Mwanza, wameendelea kwa muda sasa kufanya jambo la hatari kwa maisha ya watu na mali zao kwa kushindwa kusimamia usafiri wa Majini...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Kama tunavoshudia hali ya amani duniani inazidi kuwa tete siku maana kila mtu ni kambale kwahyo muda wowote kunaweza kutokea vita hapa duniani. Je, serikali yetu pendwa imejiandaaje kutulinda...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kuhakikisha kila mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 18, anayesafirishwa kutoka eneo moja...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Gharama za kuvuta maji taka kwenye karo ni Tshs kwasasa kwa mwenye ufahamu ? Nipo Mbezi Luis Dar es salaam, kama nitapata kujuzwa bei na namba za simu za watu wanaopatikana jirani na Mbezi Luis...
1 Reactions
2 Replies
321 Views
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, leo Oktoba 22,2024, amesema basi hilo limepata ajali majira ya alfajiri, wakati likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Machame, Wilaya ya Hai kwenye...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom