Vijana tunaogemewa, fighters wazazi wetu baadhi yao waliferi wamebaki kutuangalia sisi ndio tuwakomboe kwenye umasikini, kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu tujitahidi kuicontrol mihemko yetu...
Hasahasa mafundi nyumba na furniture yaani hawa katika historia zao lazima tu wamepelekwa polisi sana wamekula hela ya kutengeneza kitanda au advance halafu wanaleta sound..
Ila hao mafundi...
NCHI 9 ZASHIRIKI TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Tamasha la 43 la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo limeshirikisha Nchi 9...
Hii kampuni ya huduma za kifedha hovyo kabisa, customer care mbovu hawana limit time ya kushughulikia tatizo la mteja, pesa yangu imekwama kwenye selcom pay zaid ya Miezi sita sasa hawana time na...
Kamari nyingine ya kupiga marufuku ni hizi makanisa ambayo sio ibada bali miujiza. Prosperity scripture nayo ni kamari, eti panda mbegu, toa sadaka upate utajiri.
Wanatuuzia udongo mafuta ya...
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa...
Wahusika kama ilikuwa muda bado wa kujenga mliona haja gani kukwangua barabara na kuicha hivo wiki ya 4 sasa. Mnatupa kero sana na vumbi na foleni isiyo na sababu.
Kipande hiki tokea mzunguko wa...
Wakuu sauti iliyopzwa imemfikia Waziri Dkt. Gwajima D Wanafunzi hao kurudi shule baada ya kupita kwenye programu ya marekebisho tabia.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi...
Wakuu, salama huko mlipoamkia?
Naamini wengi wetu tumekuwa tukipokea matangazo kwenye simu zetu ya huduma ambazo hatujawi kuzitaka, na hujawahi kutoa namba yako na kuwaruhusu kukutumia matangazo...
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka sintofahamu baada ya mtu mmoja aliyetambulishwa kama msaidizi wa karibu sana wa Hayati Rais Mobutu Sese Seko aliyekuwa mtawala wa Zaire (Congo DR), akiishi maisha...
WAUMINI DKMS - KKKT
S.L.P 10
LUSHOTO
03/04/2020
MKUU WA KKKT
S.L.P 3033
ARUSHA
TANZANIA
Salaam katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Kristo!
MALALAMIKO YETU DHIDI YA HUJUMA NA UBADHILIFU WA...
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG, Manyara.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amefungua maonyesho ya Tatu ya biashara ,Viwanda ,kilimo na Madini ya Tanzanite Manyara Trade Fair...
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila...
Habari wakuu nina maswala 2-8 nazani yananitatiza sana huenda ikawa ni ma tatizo au ndio upekee huo enewei
Iko hivi najiona nimekua mtu wa ajabu yani niko tofauti sana na wengi wanaonizunguka
1...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa...
Habari za asubuhi wana jukwaa.
Niko kwenye harakati zangu za utafutaji wa mkate, ghafla inaingia meseji ambayo iko hapo kwenye picha niliyo ambatanisha kwenye hii post.
Ikanilazimu nipige simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.