Wadau hebu nielimisheni maana kibongo bongo huwa sielewi magari yetu na utaendaji kazi wao
Ukiacha dereva hawa wengine nasikiaga tu kuna tingo, kondakta, tandiboi, mara meneja nk
Habari wana JF
Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti...
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega...
Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !
Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local...
Tanzania na Pakistan zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano ili kukuza uhusiano wa uwili baina ya nchi hizo mbili huku wakitilia maanani vipaumbele vya nchi zote mbili kwa manufaa ya nchi na...
IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu.
Vijana hawa Wala siyo wakazi...
Mende asili yake ni uchafu japo yeye mwenyewe hupenda sana kujiweka msafi hata kama yuko kwenye mazingira machafu.. Yaani anajijali yeye tu mwili wake na si sehemu nyingine yoyote! Hata kitanda...
Kuna maandiko yanasema: Basi njoo unilaanie watu hawa; maana wana nguvu kunishinda mimi. Labda nitaweza tupate kuwapiga, niwafukuze watoke katika nchi yangu, kwa maana najua ya kuwa yeye...
Utapeli kwa katika ununuzi wa vitu au upangishaji wa nyuma unazidi mno kwa kipindi hiki hususan katika upangishaji wa nyumba, imefikia hatua Dalali anakuwa na Mwenye Nyumba wa mchongo na akaunti...
Wakuu salama, niwape story kwa yaliyonikuta leo inaweza kumsaidia mtu.
Katika harakati za kutafuta nyumba maeneo ya Mbezi Beach nikakutana na madalali wawili kwa nyakati tofauti maeneo ya...
Habari gani ndugu zangu?
Nahitaji kufahamu, unapotafuta chumba/nyumba ya kupanga, kuna mantiki gani ya kuonana na Dalali kwanza hata kama umeshaonana na mwenye nyumba?
Sijui utaratibu kwa mikoa...
Mratibu wa Afya ya Uzazi na Mtoto katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Monica Nalinga amesema idadi ya watu wanaonufaika na huduma za Uzazi wa Mpango imeongezeka ikiwa ni matokeo ya ushirikiano...
Uislam, Ukristo na Uyahudi ni dini za Kiabrahama zinahusisha imani za kidini ambazo zinatokana na urithi wa kiroho wa Nabii Ibrahim (Abraham), ambaye anachukuliwa kuwa baba wa imani hizo.
1...
Habari zenu wakuu.
Mzee Ayo huko Arumeru amemaliza safari yake ya hapa Duniani, ni chanzo kikitajwa ni utapeli wa mtandaoni maarufu " Tuma Kwa namba hii"
Kwenye hili tuache unafikia hawa watu wa...
Mzee Thomas Ayo mwenye umri wa miaka 67 mkazi wa Kata ya Kiutu wilayani Arumeru mkoani Arusha amefariki dunia ghafla (nje ya duka la wakala wa fedha ) mara baada ya kupata mshtuko alipobaini...
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.
Mashirika na taasisi karibu zote za...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapendwa naleta bandiko hili Kwa njia ya swali nikiwa na umakini mkubwa.
Nimezingatia utafiti usotia shaka wala kuegemea upande wowote na ulio na ushahidi wa kutosha...
Vyombo vya habari vya Tanzania vinaonekana kuifuta mipaka kati ya uandishi wa habari na hadithi za mitaani, kwa ku-copy na ku-paste kila habari wanayopata bila kuchimba zaidi kutafuta ukweli...
Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani.
Jitahidi kutembelea mara kwa mara ata...
Benki ya Dunia WB imeikopesha Tanzania takribani Shilingi Trilioni 1 Kwa Ajili ya mradi wa Miundombinu Jijini Dar Maarufu kama DMDP-II ambao unalenga kulifangia Jiji la Dar kuwa la Kisasa Duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.