Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri Dkt. Gwajima D salam, Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Hivi ni mazingira yapi katika mirathi ambapo vitukuu wanaweza kuwa na haki kuzidi wajukuu katika kurithi mali? wanasheria nisaidieni,
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa...
0 Reactions
9 Replies
339 Views
Nimejiuliza kwa nini yale mapepo kwenye Biblia yaliomba yakaingilie nguruwe ambao walikuwa mbali sana na sio mbuzi, ngombe au kondoo? ( mathayo 8:28-). Nikajiuliza nani aliyebuni uongo kuwa...
1 Reactions
4 Replies
466 Views
Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini...
1 Reactions
6 Replies
349 Views
Bado maombi yana nguvu. Puuza wanaopuuza maombi. Maombi Yanaweza kugeuza maamuzi ya Serikali na viongozi wakubwa wa nchi. Mfalme wa Iran Koreshi, Altashasta na Dario walijikuta wanaendeshwa na...
23 Reactions
133 Replies
1K Views
GENTAMYCINE ( alias East African Brain ) ni Mkristo tena wa Dhehebu la Katoliki ila leo hii ( Usiku huu ) bila ya Unafiki nasema wazi kuwa Ndugu zetu Waislamu ni Watu Waungwana, Wastaarabu na...
14 Reactions
57 Replies
3K Views
Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia. Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu...
4 Reactions
74 Replies
2K Views
Nchi nyingi au zote za waislam au waislam wanatumia mifumo ambao ilianzishwa na wakristo. Ikiwa waislam wanawapinga wakristo, je ni sahihi kuacha mambo ambao alianzishwa ua ina mzizi na wakristo...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Kama sio unafiki basi waanzilishi wa hizi dini waliiba mababu wa watu ili wakubalike lakini ukweli ni kuwa hazina uhusiano kabisa na Wayahudi. Kama wangekuwa na uhusiano nao wangewapenda wajukuu...
0 Reactions
6 Replies
571 Views
Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu, Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani...
6 Reactions
21 Replies
715 Views
Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na...
4 Reactions
8 Replies
415 Views
Japo imeandikwa kuwa kila binadamu ana mapungufu yake Ila mapungufu hayo yakizidi ayo tunaita makusudu. Let me go straight to the topic Ilikuwa mwaka 2010 baba alimuacha mama na kwenda kuishi na...
6 Reactions
30 Replies
978 Views
Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa...
3 Reactions
11 Replies
376 Views
Mwezi uliopita majira ya saa 9 usiku zilisikika kelele kutoka kwa majirani wakisema "mwizi, mwizi" Japokua nilisikia hizo kelele lakini sikutaka kutoka nje moja kwa moja kwasababu ni risk...
25 Reactions
54 Replies
7K Views
Kwanza mimi sio mwandishi mzuri kwenye mapungufu ya uandishi tuvumiliane. Mimi ni mfanyabishara wa vitu mbali mbali vya umeme Electronics item nategemea sana wateja wa online yanii kupatana...
51 Reactions
131 Replies
16K Views
UMEZALISHWA, UKATELEKEZWA. SASA UNAITWA SINGLE MOTHER. FANYA HAYA: Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwèñye Maisha mambo meñgi usiyoyatarajia Wala kuyajua huweza kukutokea. Hata usiamini kwamba...
5 Reactions
3 Replies
452 Views
Wanaume wanaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kuwaunga mkono wanawake wanaotaka kujihusisha na siasa. Kwa mfano, wanaweza kuanza kwa kuwatia moyo na kuwa na mtazamo chanya kuhusu uwezo wao...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Taa za barabarani kuanzia Stand ya Morocco hadi Biafra, Kinondoni, ambazo zilikuwa zimeharibika kwa muda na kusababisha giza hatarishi, sasa zimerekebishwa na zinafanya kazi vizuri. Soma: Taa za...
0 Reactions
3 Replies
201 Views
Wanajukwaa naomba mnisaidie hili,hivi yesu ni mtu au ni nafsi nyingine yenye nguvu.Nimepitia baadhi ya sifa chache za yesu lakini nimeshindwa ku conclude kama ni mtu tu. Baadhi ya sifa zake...
1 Reactions
5 Replies
252 Views
Back
Top Bottom