Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu habari zenu! Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na...
13 Reactions
318 Replies
13K Views
Mhadhara - 48: Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani. Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga...
3 Reactions
4 Replies
391 Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
4 Reactions
261 Replies
7K Views
Kuelekea miaka 50 ya Shule ya Sekondari Jitegemee, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Denis Londo amewataka wananchi wakiwemo viongozi mbalimbali waliowahi kusoma...
2 Reactions
6 Replies
302 Views
Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu...
22 Reactions
50 Replies
2K Views
Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Salute! Haraka haraka bila kupoteza muda niruke kwenye mada husika ndugu zangu... Siku kama 2 zilizopita nilipost uzi hapa JF forums, LINK: Ontario's mere prediction about the future, yajayo...
80 Reactions
430 Replies
57K Views
Nina kereka sana kuona vijana wengi wa kiume kujiwekea utamaduni ambao kwangu na utafsiri kama kuongeza matukio ya kuvunja maadili ya Kitanzania ikiwemo 'ushoga'. Siku hizi ukiingia kwenye...
6 Reactions
17 Replies
745 Views
Ni vitu vinavyotokea kwenye maisha ya kweli, sio kwenye muvi tu, bilioni 2 ni lugha ya kimafumbo ya kiasi kikubwa cha fedha kwako kinachoweza kubadili maisha yako. Hio ni siri yako ambayo rafiki...
4 Reactions
34 Replies
640 Views
Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo. Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao...
5 Reactions
24 Replies
738 Views
Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
NAIBU WAZIRI SILLO AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUJENGA KIZAZI CHENYE MAADILI Na Mwandishi Wetu, Morogoro Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo ametoa Wito kwa Viongozi wa Dini...
0 Reactions
2 Replies
135 Views
TAFAKURI YA LEO. 1. Ana umri wa miaka 68 na sasa amestaafu kazi. 2. Alifanya kazi kwa bidii maisha yake yote akalea mke na watoto wake vizuri tu. 3. Alijinyima raha za maisha kwa kulipa ada ya...
1 Reactions
7 Replies
377 Views
habari wakuu naam mimi mimi si mgeni humu ila ningependa kushare some little experience juu ya usafirishaji misiba habari wakuu naam mimi mimi si mgeni humu ila ningependa kushare some little...
15 Reactions
112 Replies
19K Views
Oktoba 23, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika andiko la kuomba msaada wa wapi anapoweza kupata fedha au ufadhili kwa ndugu yake ambaye ni mgonjwa aliyelatwa katika Tasisi ya MOI...
26 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran...
23 Reactions
68 Replies
2K Views
Je, umekuwa ukisumbuliwa na panya sana? Je, umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio? Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi; Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID...
59 Reactions
321 Replies
75K Views
UKIFAHAMU KUWA BINADAMU TUPO TOFAUTI MAISHA YAKO YATAKUWA TOFAUTI Katika ulimwengu tunaoishi watu wengi hawajui kuwa tupo tofauti sana hata kama tunaonekana tunafanana. Kwa hali hii baadhi ya...
12 Reactions
55 Replies
8K Views
Back
Top Bottom