Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona...
ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka...
Katika Mwaka 2023/24, Kituo cha Uwekezaji kimekamilisha ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji (Tanzania Electronic Investment Window - TeIW) kwa awamu ya kwanza ambao...
Wakuu mimi nikijana mpambanaji kiukweli mm ni Mtanzania halisi kabisa.
Kwa sasa niko huku 🇰🇪 Kenya ila maisha haya kwa Ruto sijaridhika wazee mm kwa haraka nimefikiria Botswana 🇧🇼
Kwa sababu ni...
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?
Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?
Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu...
UNÀTAKA KUWA NA MVUTO KIJAMII, KISIASA AU KIUCHUMI ILI UPATE PESA AU MAFANIKIO? FANYA MAMBO HAYA KISHA NJOO UNISHUKURU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
MVUTO, mvutano. Kani au nguvu ya Uvutano...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Anna Atanas Paul ameitaka jamii kuelewa kuwa mtoto wa kike ana haki za kushiriki michezo yote bila ya kudhalilishwa.
Ameyama hayo...
Mpimbwe, Katavi
Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja na ujenzi wa barabara...
Yeeeerrrrreeeeh!
Soko la korosho duniani limechanganya balaa. Na hapa nchini bei imepanda kwa hadi 4k huko.
Sasa yale yele ya mbuzi kunyweshwa soda kipindi kile soko lilipochanganya baada ya...
Bado sijajua kama Taifa tunakwama wapi au sijajua ni nani atakuja kutusaidia?,Je tuwarudishe wakoloni watuonyeshe namna njema ya kuishi katika ustaarabu au Nini kifanyike?
Binafsi nimekuwa...
Wakuu,
Wakili Paul Emmanuel Kilasa Kisabo amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, dhidi ya Uamuzi wa Hakimu Nyambuli Tungaraja wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ulioifuta...
Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila...
Salama kwenu ndugu zangu!!
Nikawa najiwazisha hapa hasa juu ya mambo /hadithi zilivyo nyingi za kutishana hasa kuhusu kesho ambayo kimsingi haipo.
Binafsi nimekuwa Katika maadili ya ki-kristo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni...
Hapa naongea katika Roho
Kuna watu wanakusanya watoto wa maskini kutoka kijijini na kuwatumikisha kwa kuuza vitu vidogo vidogo kama mayai ya kuchemshwa, kandoro au miwa.
Mtu anakuwa na vijana 5...
Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi...
SEREKALI ya Mapindizi ya Zanzibar imesema inaendelea na juhudi mbali mbali za kudhibiti athari za mabadiliko ya tabianchi ili kuhakikisha nchi inakua salama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...
Licha ya Serikali kuweka bayana kwa kutenga zaidi Sh. bilioni 17.79 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, lakini nasikitika kwamba kuna jambo muhimu bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.