Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salaam, shalom!! Nitumie fursa hii kuwatia moyo ndugu zangu Watanzania wenzangu kuwa, haya tunayoyapitia ni ya Muda tu, kama ambavyo Kuna usiku mnene, Giza Totoro, tukumbuke kuwa Giza ni la muda...
2 Reactions
13 Replies
385 Views
Mchungaji Richard Hananja anasema wale wote wanaouza vitu katika nyumba zao za ibada wakatwe kodi kwani ni kama tu wamehamishia maduka kwenye nyumba za ibada. Siku hizi nyumba nyingi za ibada...
6 Reactions
8 Replies
506 Views
Watu wanahisi kumbu kumbu ni kama video recorder inatunza matukio yote kwa usahihi na ufasaha ila ki ukweli si hivyo, kumbu kumbu mara nyingi ni kama suggestion kukisia kwa matukio uliyoyaona na...
4 Reactions
0 Replies
225 Views
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeielekeza ofisi ya Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tabora kwa niaba ya Kamishna wa Ustawii wa Jamii, kushirikiana na vyombo vya haki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Famili za kiafrika ni Kulogana, Ujinga mwingi, Umaskini yaani daaaah!
10 Reactions
56 Replies
1K Views
Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani. Akimzungumzia Kamala Harris...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu. Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa...
2 Reactions
21 Replies
622 Views
Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR. Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo. Anyways karibuni...
3 Reactions
26 Replies
966 Views
📣📣📣📣📣📣📣 Maisha na Mafunzo Muhimu kwa Kila Mtu, Jitathmini. 1. Hakuna atakaye kuja kukuokoa. Simama imara, Kuwa shujaa. 2. Usilazimishe mtu yeyote akuchague. Utajifunza kutumia muda peke yako...
12 Reactions
11 Replies
475 Views
Mkiwa na mirathi kwenye familia/ukoo wenu na ikaisha kwa amani na salama ni jambo la kumshukuru Mungu sana. Niandikapo mada hii leo hii kuna kesi nyingi mahakamani zinazoendelea lakini...
6 Reactions
100 Replies
13K Views
Itakumbukwa kuwa Mkurugenzi huyu ndiye aliyewekwa na Hayati Magufuli kusimamia bandari zetu of which alifanya vizuri sana hatukusikia mambo ya ovyo ovyo katika bandari zetu Kama mitambo kizima...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano...
1 Reactions
10 Replies
535 Views
Baadhi ya Taarifa za Uzushi zimekuwepo kwa muda mrefu na kurithishwa kizazi hadi kizazi, hivyo kuathiri mitazamo ya watu Je, ni Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Tukio la 2019 2020 na hivi mimi mtoto wa mkulima nimesoma kwa shida nimefanya vibarua kulipa ada Leo huu mwaka wa 6 sina ajira. Wakuu naomba app ya kulock hii sms ya jiandikishe kupiga kura. Kwa...
10 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima, Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation...
10 Reactions
110 Replies
3K Views
Habari wadau poleni na majukumu ya kujenga Taifa. Moja kwa moja kwenye mada .Nimekuwa nikifuatilia tabia za hawajamaa kwenye matukio yote ya kiserikali mfano sensa na uchaguzi .Hawa jamaa huwa...
7 Reactions
11 Replies
668 Views
Mabibi na Mabwana habari zenu. Sio kitu muhimu sana but kimenifanya nijione maisha kuna muda mwingine yanaweza kupoteza vitu flan maishani mwako ambavyo japo unavichukulia kama minor issues but...
67 Reactions
90 Replies
3K Views
Habari za wakati huu. Nimesoma nyuzi mbalimbali hapa JamiiForums. Nyuzi nyingi zimekua za kuelimisha, kuhabarisha,kuburudisha nk. Maisha ya watu wengi yamebadilika kupitia Jamii forum ikiwemo...
7 Reactions
81 Replies
15K Views
Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake. Shukrani.
2 Reactions
56 Replies
983 Views
https://www.youtube.com/watch?v=dfhBGUUZnF0 Ujenzi usiofuata viwango ni hatari kwa jamii.
1 Reactions
0 Replies
213 Views
Back
Top Bottom