Hii ni hoja spesheli ya kutoa mwongozo wa kisheria na kijamii kuhusu upinzani dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Ni dhahiri na imezoeleka, kwamba kila ngumbaru yeyote hata asiye na kisomo, akitaka...
Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa...
Habari,
Kupitia majukwaa mbalimbali yaliyomo humu JF,kuna baadhi ya wanachama ambao kwa namna moja au nyingine katika kuchangia mada tofauti tofauti wamekuwa wakiahidi kuleta nyuzi zao(kuleta...
TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne.
Shirika limewahimiza wateja wake wote...
Mimi ni muhitimu wa Stashahada ya maabara ya binadamu (Diploma in Medical Laboratory Technology) 2014/2017 katika chuo cha St. John’s university of Tanzania Dodoma.
Toka nimemaliza 2017 matokeo...
Aisee miye kuna snacks hizi wanaita Pringles yooooh zimenishinda kabisaaa Maisha yangu yote
Mara ya kwanza tu kujaribu kuzila ndio ikawa funga kazi, nimeshindwa kuzirudia hata kama nikiona...
Kijana mtanzania anayeishi mji wa Baraka, Kongo akisimulia uzuri wa Kongo .Vijana kasakeni fursa Kongo
Acheni kubweteka
https://youtu.be/WY6pZKoDrns?si=ZskttqQjRHpr4Swt
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless...
IDADI kubwa ya wagonjwa wa moyo wanaotoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga, wanapata maradhi hayo kutokana na unywaji wa pombe kali uliopitiliza, wataalamu wamebaini.
Mkurugenzi...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00...
Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu...
Mimi ni wakala na kiongozi wa CHADEMA cha siasa hapa Arusha, Kata ya Sinoni, Mtaa Engosingiu.
Wakati wa zoezi la uandikishaji hapa Mtaa wa Engosingiu na Mlimani linaendelea nimegundua kuna namna...
Searches for “How to use clippers to cut hair” have gone up by 140% this week
🐶Searches for “Puppy adoption near me” went up 100%
Some of us are looking to stay together forever. 👰 Searches for...
Taa za barabarani eneo la Stand ya Morocco hadi Biafra zinahitaji kutengenezwa, kwani ni hatarishi kwa usalama.
Ikifika usiku, Morocco inatisha kwa giza. Taa za barabarani kuanzia Stand ya...
WANAUME KUWA NA TABIA ZA KIKEKIKE NI JANGA LINALOIKUMBA NCHI YETU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nyakati za zamani nikiwa nakua zipo tabia ambazo tuliaminishwa ni tabia za kike(inaweza kuwa...
Bwana awe nanyi nyote.
Hii story ya kweli itaangazia hasa maisha ya Kanda ya Ziwa especially sukuma tribe.
Wakuu huu ni ukweli na nitaungwa na Kila aliyeishi Kanda ya Ziwa usukumani miaka hiyo...
Kulikuwa na majina ya kikoloni miji mbalimbali katika tanganyika hata baada ya uhuru. Kulikuwa na mitaa ya uhindini na uzunguni lakini sasa hakuna mitaa hiyo licha kuwa wahindi bado wapo tena ni...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inawakaribisha wawekezaji katika sekta ya nishati ili kuongeza kasi ya usambazaji, uzalishaji na unganishwaji wa...
Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamini Sedoyeka alisomewa mshtaka manne katika Baraza la Maadili kutokana na malalamiko manne ya kukiuka maadili ya Viongozi wa Umma ambapo...
Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ??
Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.