Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo...
Mara zote ndoto huongea ukweli kwasababu ndoto,ni taarifa inayotokea katika ulimwengu usio na maamuzi ya kibinadamu...na ulimwengu huo huwa hausemi uwongo.
Ndoto huwa inaonekana ya uongo...
Miaka ya 2000 mwanzoni kulikuwa na Televisheni za visogo, sisi tumekua tukiziita Video za chogo, tv ambazo zilitulea sana kipindi hicho. Miaka hile niko pale jijini Mwanza, Ilemela mitaa ya Ghana...
Habari wakuu. Natarajia kuwa na likizo fupi ya mapumziko na nina hitaji mahali ambapo nitatulia na mama watoto wangu kwa hyo wiki moja kuanzia tarehe 22 Octoba
Niko hapa kuwaomba kama kuna mdau...
Kuna chalii hapa, yeye maji atayatafuta popotee, iwe ni bomba la nje, bafuni, kwenye ndoo popote,
Akiyapata cha maana hamna, ni kuingiza mkono na kuuzungusha.
Yaani huyu imefika hatua akiwa...
Kumekuwa na matukio ya kuvuja sana kwa picha ama video za maudhui ya ngono, na hili linawapata sana watu mashuhuri
Mfano Gwajima, Chongolo, Nyalandu nk.
Nikikumbuka nikiwa chuo niliwahi kuwa...
Kama nchi hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati...
Kauli hii inaonyesha wazo la kuheshimu imani za kidini za wengine ili kupata heshima kwa imani yako mwenyewe.
Inasisitiza uvumilivu wa kidini na umuhimu wa kuonyesha heshima kwa miungu au dini...
Kama wewe ni mwenzangu na Mimi tunaopambana anagalao tufike sehemu nzuri, kuna ile unawatazama waliofanikiwa na mbilinge zao za maisha unaishia kusema hakika utajiri ni Ngumu.
Just see few Case...
Nimeshawishika kuandika hili baada ya kuona vijana wanafunzi wa sekondari wakikokotwa na walimu wao na kupelekwa kujiandikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni jambo zuri vijana kupiga...
Baba Mtakatifu Francis amewatangaza Watakatifu wapya 14 wa Kikatoliki, wakiwemo Mashahidi 11 wa Damascus waliouawa nchini Syria kwa kukataa kukana imani yao.
"Padre Manuel Ruiz López na wenzake...
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.
Ama nilipie...
Kama kichwa kinavyoeleza hapo tunabambikiwa sana parking siku hizi naomba utupazie hili nina uhakika wahudumu wa huduma za parking WAMEKUWA wakibahatisha namba za gari na kuandika bili za parking...
Huu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi, kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu...
Eneo Bora la Utalii Afrika (Tanzania)
Bodi Bora ya Utalli Afrika (TTB),
Hifadhi Bora ya Afrika (Serengeti),
Kivutio Bora cha Utalii Afrika (Mlima Kilimanjaro).
Tanzania imenyakua tuzo 4...
Kupiga kura ni njia muhimu ya kutimiza wajibu wa kijamii na kisiasa.
Ni fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi yanayoathiri maisha ya watu na jamii kwa ujumla.
Kutoshiriki inaweza...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na...
TOUFIQ TURKY AANGAZIA FURSA ZA UTALII COMORO
Mwenyekiti wa Makampuni ya Vigor ya Zanzibar ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe. Toufiq Salim Turky amekutana na Waziri wa Utalii na...
Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.