Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo...
Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa.
Nimeshangaa...
Wazazi daima tuna jukumu kubwa sana la kusisitiza maadili kwa kubwa kwa watoto wao hawa katika kipindi wanapokua na kuchunguza ulimwengu unaowazunguka, lakini lengo la msingi linaweza kuwa sio...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa
Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo...
Mimi ni Mdau mzuri sana wa Movies na Series za Nje Hasa za KIMOMBO" na mpira hayo ndio mambo Yangu.
Nimekua mtumiaji wa DSTv Kwa miaka mingi tu lakini maboresho ya hapa karibuni miaka kama 5...
Nina simu aina ya INFINIX nilinunua July 2020. Laini ninayotumia Ni ya Vodacom. Siku hizi hii simu hai display sms, iwe nimepokea pesa au nimetuma pesa au sms yoyote.
Nikiweka laini ya halotel...
Juzi nilienda kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ni muhimu kama kijana kuhakikisha unatumia haki yako ya msingi kumchagua kiongozi bora anayemtaka atakaye hakikisha...
Katika tukio la kusikitisha lililotokea tarehe 18 Oktoba 2024, Juma Majalla, mtoto wa kwanza wa Wakili Riziki Majalla, amekamatwa na polisi wa Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua baba yake baada ya...
Johanes M Kanani inasemekana alikuwa ni member wa JamiiForums, alipata ajali usiku wa kuamkia jana alikuwa abiria kwenye bodaboda ajali ilitokea saa saba usiku River Side Ubungo. Jumapili ndiyo...
Habari za asubuhi Watanzania wenzangu.
Kwenye nchi hii kuna mambo yanaenda hovyo sana toka utoaji wa taarifa,maandalizi na mfumo mzima wa NFRA kama wakala wa chakula nchini.
Ikumbukwe wakala...
Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity).
Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Ni kweli mnaweza kuwa na ukaribu na marefa na ndo hao mnaowatumia kuumiza timu kama azam na Dodoma jiji lakn lazima mkumbuke yanga ni kigogo wa soka hapa Tanzania hivo msitegemee kubebwa na marefa...
Tabia nane za watu wa pole.
1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji
2. Ni rahisi kuwaamini
3. Wako tayari kutoa msaada.
4. Ni wazuri kuwa nao kama marafiki
5. Ni...
Wakuu habari zenu, i hope mko ok wote.
Huwa najaribu sana kutozungumzia habari za siasa, cas nina marafiki wengi na watu wa karibu ni wanasiasa, tena wa ccm[emoji30] ndo sababu huniwia vigumu...
Wakulima wa mahindi katika kituo cha NFRA cha kununulia mahindi kilichopo kijiji cha Muze wilaya ya Sumbawanga vijijini hawajalipwa na NFRA pesa za mauzo ya mahindi kwa zaidi ya mwezi mmoja...
SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa...
Tanzania inatumia fedha nyingi za kigeni kuagiza vinjiti vya meno kila mwaka lakini kuna viwanda vichache sana vya kuzalisha bidhaa hiyo nchini.
Mapema mwaka wa 2016, wadadisi wa ndani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.