Prof. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.”
Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa.
Sasa labda tujiulize WHY...
Ameandika @jamadihatibu
Katika kutafuta ajira kuna mengi sana, Makampuni mengi huwa na taratibu mbovu za interview, ila hii ilikua tofauti, leo naomba nishare na nyinyi..
Nakumbuka mwaka 2020...
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha...
Update: 16/05/2023
Hayawi hayawi sasa yamekua. Megawati 180 kwa miaka 25 Zanzibar
Update: 04/12/2022
https://www.jamiiforums.com/threads/je-ni-kweli-iptl-imewasha-mitambo-yake.2045101/...
KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU?
Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la...
Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko.
Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina...
Nakumbuka tukio hili kama vile ni jana. Ilikuwa miaka ya 80s nimeenda Mkoani likizo kumtembelea bibi. Kulikuwa na tabia za kibabe sana hiyo sehemu.
Bahati mbaya mimi nlikuwa mweupe, mnene...
Aliyekuwa msajili wa Vyama vya michezo nchini Riziki Majala afariki .
Chanzo cha kifo inasemekana ni ugomvi kati yake na mwanae ambae inadaiwa ana shida ya akili baada ya kukataa kumpa hela...
Salamu wakuu
Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu
Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri...
Habari zeni wa-TAMISEMI,
Katika harakati zangu huku kwa Biden nikakutana na vijana wanacheza mchezo wa hiki kidude. Nikaona mtu mweusi hashindwi kitu. Nikaomba na mimi niwaoneshe jinsi wabantu...
Habari zenu!
Mada inajieleza.
Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga.
Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
TANZANIA YANYAKUA TUZO NNE ZA UTALII
KENYA
Kwa mara nyingine tena, Tanzania imeibuka Mshindi kwa kujinyakulia tuzo nne katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards ya Nchini...
Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea...
Habari za jumamosi jamii forum,
Ni weekend nzuri kabisa ya mwisho wa mwezi,ambayo bila shaka bidhaa na shopping kibao zitafanyika huku kesho jumapili tukipunguza michango na zaka kwa kiasi...
1. Vitu unavyopost vinaonesha wewe ni mtu wa aina gani, kumbuka kuweka safi ukurasa wako kila wakati
2. Page na magroup unayo follow yanaonesha wewe ni mtu wa aina gani, rafiki zako wanaona vitu...
Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa, yaani NFRA ni Taasisi iliyoanzishwa mahsusi kuhakikisha kuna kuwepo na Hifadhi ya Mazao ya Chakula muda wote Nchini.
Hununua mazao ya Chakula, kuyahifadhi...
Namna ya Kulinda Usalama wa Watoto Mtandaoni
1. Zungumza na mtoto juu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao
2. Mfundishe mtoto kuhusu taarifa binafsi na namna ya kuzilinda
3. Weka mipaka ya...
Chanzo cha picha,AP
Ndege isiyo na rubani ilirushwa kuelekea nyumbani kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika mji wa Caesarea kaskazini mwa Israel siku ya Jumamosi, msemaji wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.