Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, Mimi mwenyewe nina mkasa mzito sana yaani kwa kifupi nilizaliwa kwenye familia iliyokuwa inajiweza kwa kila kitu lakini tatizo lilikuwa...
77 Reactions
76 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi wa member mmoja humu kuhusu adhabu za matofali wapewazo wanafunzi nikakumbuka miaka nikiwa nasoma. Shule bila adhabu inakuwa ya kiduwanzi kichizi. Yaani inakuwa ya...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Wazazi wengi wa kibongo kwa sababu ya umasikini na kuwaona watoto kuwa chanzo Chao cha mapato wamekuwa wakijiingiza kwenye ndoa. Wametaka kuwa na ushawishi ili wasijewakapoteza manufaa...
9 Reactions
55 Replies
1K Views
Takwimu za Kitaifa zinaonesha kuwa ifikapo mwaka 2032 kutakuwa na upungufu wa tani 234,000 za nyama nyeupe ikiwemo nyama ya kuku endapo hakutakuwa na uwekezaji wa kimkakati kwa kuwa kuna ongezeko...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Usiku huu tokea saa 9 mchana hakuna umeme kabisa, na ni maeneo mengi tu hakuna umeme mpaka muda huu Na mpaka sasa sijui ninini kinaendelea
0 Reactions
53 Replies
862 Views
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo maarufu kama Afande, baada ya kubaini kuwa malalamiko hayo yana dosari...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Habarini, Napendekeza wale wote tunaoidai serikali ya Tanzania tusijiandikishe na kupiga kura ili kufikisha hisia zetu kwa serikali kuwa hatukubaliani nayo kuwa hsina fedha za kulipa madeni yetu...
1 Reactions
18 Replies
377 Views
  • Closed
Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia...
3 Reactions
48 Replies
1K Views
Simu za mkononi, ingawa zina manufaa mengi, zinaweza kuwa na madhara kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi au kwa muda mrefu kupita kiasi. Baadhi ya madhara hayo ni: 1. Madhara kwa Afya ya...
2 Reactions
3 Replies
709 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani...
0 Reactions
12 Replies
610 Views
Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
8 Reactions
157 Replies
3K Views
#Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda na Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba leo tarehe 17/10/2024 wamekutana na Watendaji Wakuu wa...
2 Reactions
9 Replies
555 Views
Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni. Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua...
3 Reactions
7 Replies
521 Views
Wanajamvi kwema? Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Salaam shalom. INTRODUCTON. Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9). Dhambi ni kutotii, kwenda...
22 Reactions
639 Replies
22K Views
Habari wakuu, Nimejaribu kijisajili kwa mtandao katika mfumo wa zimamoto naona kama kuna changamoto kwa upande wangu. Anaejua naomba msaada, au kama kuna tatizo naomba ma IT watusaidie, ukiingia...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Waungwana heri ya uzima na afya kwenu nyote. Hapa kila mtu atakuwa shahidi kuwa mwishoni wa mwaka 1999 kurudi nyuma kulikuwa na nyimbo zenye maadiri. Kwanza unaburudika huku ukipata ujumbe wa...
4 Reactions
35 Replies
754 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya Shandong Luqiao Group atakayeanza ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka (km...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Habarini wana JF, Nimeazima simu ya jamaa hapa nitoe ushuhuda Nina miaka 27 nilizaliwa familia sio kama za kina Bakresa ila yatosha kusema pesa ilikuwepo. Wazazi wangu hususani baba yangu...
341 Reactions
845 Replies
125K Views
Back
Top Bottom