Sijui ni ndio kukosa elimu ya afya au ni ulimbukeni tu, au labda kuna sababu nyingine!?....
Kwa kweli ukifika kwenye mnada wa Msalato karibu kidogo na nje ya jiji la Dodoma utapigwa na butwaa...
ASSLAHAM ALHEIKUM
USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK
KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI
JANA...
Kama binti yako au mkeo hajafanikisha kuvaa haya mavazi manne katika maisha yake jitafute ujue ulikosea wapi:
1. Sare ya shule
2. Graduation gown
3. Wedding gown
4. Maternity dress.
Ukikosa...
Habari wanaJF,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na...
Tanga ni kati ya mji wa kipekee sana hapa Tanzania.
Watu hawana haraka na hawajali kabisa. Watu hawaendi na muda na they don't care about it. Ukidrive town wanaona shida hata ku-overtake, sababu...
Jeshi la Polisi
Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu.
Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu...
66% ya kaya nchini Marekani zinamiliki wanyama kipenzi.
Kaya za Marekani zina takriban jumla ya mbwa kipenzi milioni 62 na paka milioni 37.
Samaki wa majini wa maji safi hushinda tuzo ya ya...
Kutokana na uongezeko la wasomi nchini imefika wakati sasa kungekuwa na mikataba kwa watumishi wa Serikali. Kuwepo kwa mikataba angalau ya miaka 2 baada ya mkataba kuisha kuwe na utaratibu wa...
Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki.
Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational...
Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi...
Nikiwa kama mwananchi eneo hilo (Kasino Kwa Msango Gulani) Tafadhali tunaomba Serikali iingilie kati mana viongozi wanashindwa tusaidia hili, tuna ukosefu wa maji kwa miezi miwili kasoro sasa na...
PSSSF Member Portal nimejaribu kutumia link hiyoo kujaribu kujisajili ili niweze kujuaa taarifa zangu, sijafanikiwa.
Msaada kwa anayejuaa jinsi ya kujisajili
Hii barabara ya Kilwa kipande cha kushuka hapa Kokoto kuja daraja la Mzinga mpaka Kongowe imeshakuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa huku maana foleni haziishi sababu barabara ni nyembamba kiasi...
WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO
"Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi...
Mbunge Edward Ole Lekaita Kisau, Mbunge wa Jimbo la Kiteto amesema kabla ya kutekelezwa kwa miradi aliyoileta Dkt. Samia Suluhu Hassan Kiteto kina mama walikuwa wakitoka nje kuchota maji saa 8...
1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono.
2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu
3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha...
Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya...
Preamble: Binafsi naamini Free market na Competition ndio inaleta Huduma Bora na Bei rahisi kutokana na kwamba watu wanashindana kugombania wateja. Ingawa kuna mambo ya Huduma naamini kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.