Naona watu wanapinga mafuta ya upako na wengine wakikubali.
Binafsi napinga utapeli unaofanywa na baadhi ya watu kwa kutumia dini .
Ila naomba nitoe ufafanui kidogo
Mwaka 2002 Babu yangu...
Kuna uwezekano mkubwa wa kupelekwa mswada wa ajira za mkataba katika utumishi wa umma kwa ngazi zote.Watumishi wa umma tujiandae kisaikolojia, hata maaandiko matakatifu yananena hivi" Siku ya...
Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za...
Habarini?
Mpaka sasa kuna kadirio la almost 100,000 graduates wa vyuo vikuu na vya kati nchini Tanzania KILA MWAKA, jambo ambalo linapelekea idadi ya watu ambao hawajaajiriwa kuwa kubwa “jobless”...
Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake.
Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua...
Wakuu mi huwa napenda kufatilia mambo ambayo hayafuatiliwi na watu wengine.
Hii jamii ya pygymies inayopatikana tanzania ni ipi?
Ndugu zangu waha mnisamehe nauliza tu maana waha wengi ni wafupi...
Biashara huwa zinarithishwa kwa watoto hasa wa kiume wanaoendeleza kizazi lakini kwa wakristo hali ni tofauti, Baba akifa nusu ya mali zinaenda kwa mke ambae anaweza akawa hajui chochote kuhusu...
Licha ya kuwa Viongozi wengi wa Kiserikali wamekuwa mstari wa mbele katika kusisitiza usafi kwenye mazingira ya ofisini na hata kwenye makazi ya watu lakini upande mwingine wapo ambao huwa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza wa Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga za juu utakaoiwezesha Tanzania kurusha satelaiti.
Amesema kuwa...
Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana
Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma...
Ni kweli ukiwa na matatizo unakuwa na hali ya kitanga tanga sana ili upate msaada.
Bawasili ni uvimbe unaotokea ktk njia za haja kubwa kutokana na kuvimba kwa mirija ya damu inaopeleka damu...
BIBLE'S CONSPIRACIES 1.
MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU BIBLIA ambayo yatakushangaza hata kama umekuwa Mkristo uliyapata kipaimara na kubatizwa.
Namba 6 itakushangaza!
Tafadhari USISOME kama hukupitia...
Ukiona watu wanasema million ni ngumu kuikamata huku wengine wanaidaka kwa mkupuo Yani like simple hivi.
Waulize migodini, mabaharia, wazee wa kago, sema duh kuna watu wanapiga ela wewe na viten...
Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako.
Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja...
Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022...
Kwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na...
Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na...
Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya
CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i
Imenisaidia...
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.