Wavunjifu namba MOJA wa sheria za barabarani ni madereva wa serikali wanapokuwq na magari ya serikali.
wana overtake popote
Hawajali speed limit
Hawaheshimu sheria nyingi za barabarani
Hapa...
Leo kabinti kangu ka darasa la pili kamerudi kutoka shule.
Akaniambia kwamba mwalimu amesema tumrekodi video akiwa anasimulia story kwa kiingereza halafu mwalimu atumiwe hiyo video. Akikosea...
Hakika ni jambo la aibu,dhihaka,ujinga na kukosa ustaarabu na wakati huo huo tukijiona jamii yenye ustaarabu na Elimu.
Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu,wenye kutafuta huduma au kupatiwa...
Hii tetesi itazaa taharuki kubwa sana, kwa vyanzo vya uhakika vitakapo sema ndio itakuwa taarifa rasmi. Iko hivi
👇
Ndizi Mbichi zikiwasili DSM zikiwa mikononi mwa wawekezaji wa biashara hio...
Kila Dakika system ina unatuma Sms Ya Uchaguzi Imekua kero. Mbona kama Hamjiamini Mshasema Watu Wame elewa.
Wanaotaka watakuja na wasiotaka mtaona kimya wanaendelea na shughuli zao.
Note...
Mimi Bibi Yenu, licha ya kuwa pensioner lakini najihangaisha kwa KAZI za mikono na talanta alizonipa Maanani.
Bidhaa zangu nauzia mtanfaoni, hivyo huwa nabahatika kukutana na vimbwanga vya huko...
Kamishina wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Haji amesema kuwa mtazamo wa kudhani kwamba Jeshi la Polisi linakandamiza baadhi ya vyama vya siasa sio wakweli.
"Wakati...
Kama umewahi kujiuliza ukifa unaenda wapi au inakuaje, hili ni swali ambalo linakosa majibu rasmi lakini wanasayansi wamejaribu kulifuatilia kwa ukaribu na kulifanyia utafiti kwa miaka mingi...
Habari wakuu, samahani mimi kuna hali fulani hivi hunitokea,
1. Ninaweza kuwa nawaza kumpigia mtu fulani kwakuwa sijaongea nae mda mrefu basi nikisema labda mda huu namtafuta aisee dakika 6...
80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka...
Kila kitu kina siri hapa duniani.
Mwaka 2017 wakati nipo mkoani nilipata kusoma kitabu kinaitwa secret of mind.
Baada ya kusoma hiki kitabu nilijifunza mambo matatu ambayo yanamfanya MTU kuwa...
Kadiri ya imani ya kanisa katoliki, Mtakatifu Josephine Bakita ni mmoja wa watakatifu maarufu katika Kanisa Katoliki, mzaliwa wa Sudani Kusini. Alizaliwa mwaka 1869 na aliishi maisha ya kutisha ya...
Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 17, 2024 jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba, Huduma na Jumuiya za Mijini kutoka nchini...
Ndg. Niliye Mdogo
Hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku moja nipo nyumban, kama kawaida yangu nilikuwa nimelewa chakar, nimejilaza kwenye kochi. Hapo ni baada ya kumtukana mke wangu na...
vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia
vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia
mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa
huku kwetu tukipigana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.