Sina haja ya salamu.
Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye...
Mtu mmoja ananidai pesa; nimekuwa nikimlipa kidogo kidogo na karibu namaliza deni. Ajabu jana kanipigia simu kuwa amefuatilia katika akaunti yangu na kuona nimetoa fedha bila kumlipa.
Taarifa hii...
Tumeletwa na Mwenyezi Mungu ili tukemee mauozo ya ubinafsi, uchocho, na roho za korosho; zinyooke, zitenende haki.
Nilisikika katika ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikikemea mauozo. Nakumbuka...
Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala...
Kuna hadithi ya mtume muhammad (s.a.w) inasema kuwa ukitaka kuisema aibu ya mwenzako basi anza na yako.
Wanasiasa ni watu ambao hutumia njia za hadaa kuhalalisha batili huenda ndiyo maana halisi...
Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo...
Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam...
maisha ni safari ndefu na kadri unavyozidi kutembea unaweza kuyaona mengi ya kustaajabisha na kushangaza.
ujue ni rahisi sana kumdanganya mtoto kwa vizawadi ila ni rahisi mno kutumia njia za...
Kwa utafiti wangu usio rasmi hiki ndicho nimegundua.
Yule jamaa aliyekuwa anafanya kazi za kulipwa 3000 kwa siku, tena akitegea anakatwa. Kazi ngumu kiwanda cha samaki. Alipoanza kufundisha...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu.
✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada...
Mgomo mkubwa wa madereva wa taksi mtandao za mtandaoni za kampuni ya Bolt leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni, wakishinikiza ongezeko la nauli...
Ushiriki wa wanawake katika uongozi si tu suala la haki na usawa bali pia huboresha ubora wa utawala wenyewe kwa kuimarisha utofauti, kukuza usawa, na kushughulikia mahitaji ya raia wote...
Kama inavyojulikana kuwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni jambo la muhimu.....lakini unaweza Kuta bado Kuna watu Wana heshima zao lkn hawajajiandikisha kupiga kura kuchagua right...
Ni matumaini yangu nyote mko salama.
Ingawa nipo na ID mpya, mimi ni mwanachama wa muda mrefu.
Mimi ni mwanaume, na nimejikuta katika hali ya kulea pacha ambao mama yao aliwaacha wakiwa na...
Katika tukio la kushtua, mwanamke mmoja anayeitwa Aisha Athuman, ambaye alikuwa muhudumu katika nyumba ya kulala wageni ya Sesa, iliyoko Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam, amepatikana akiwa...
Mimi ni mchimbaji wa madini.namshukuru Mungu kuwa nimeokoka na ni mwanasayansi.
Wachimbaji wadogo ambao wanajiita wanachama au mafadhagora na wengine wanashift hawaamini kuwa wanaweza kupata...
Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam kubainisha wazi tija ambazo zinatokana na uwepo wa Soko la Bwawani, lakini katika hali ya kusikitisha soko hilo limeanza kuwa...
samahani wana jamii forums,
ndugu yangu amehitimu veta katika fan ya ujenzi level 3, sasa anaomba ushauri
Aendelee kutafuta deploma ama
aende kusomea vocational assistance teacher.
maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.