Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu habari za Muda huu? Naomba mwongozo juu ya yupi anayepaswa kumsalimia mwenzake ikiwa mmoja ana umri mkubwa kumliko bosi wake,mfano Mimi niwe na umri wa miaka 50 harafu bosi wangu ninaye...
5 Reactions
26 Replies
936 Views
Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na...
8 Reactions
19 Replies
687 Views
Wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kuingia katika uongozi Na Thuwaiba habibu Sheha wa michamvi Khadija hassani haji amewaomba wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kushiriki katika uongozi...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Kwanini wakristo hampendi kufata mafundisho ya dini yenu badala yake kufata ujanja ujanja mwingi? Bikira mariamu mama wa Yesu alivaa hijabu, kwanini nyinyi hamfati mila yake, au mnapenda kufata...
16 Reactions
201 Replies
3K Views
Morogoro Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro Bw. Idrisa Kayera ametekeleza maelekezo ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Deogratius Ndejembi kushughulikia mgogoro wa...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
4 Reactions
12 Replies
425 Views
Mungu kupitia Nabii Musa alitoa maelekezo kuhusu uchanganyaji wa mbengu ili kupata kiumbe kimoja. Kizazi kiovu baadae walichanganya mbegu za wanyama tofauti wakatoa viumbe wa ajabu kina Godzila...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo...
11 Reactions
76 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Wananchi wa kata ya Kibosho halmashauri ya wilaya ya Moshi wamekarabati barabara zote za eneo hilo kwa michango yao binafsi. Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu wana...
11 Reactions
49 Replies
1K Views
Ripoti mpya iliyotolewa na Tume ya Kimataifa ya Uchumi wa Maji GCEW, inasema kutochukuliwa hatua za kutosha za kumaliza tatizo la maji, kunaweza kusababisha zaidi ya nusu ya uzalishaji wa chakula...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
Juzi usiku nilikuwa kijiweni kwangu nikitoa huduma kama kawaida, mara akaingia dada mmoja ambaye namfahamu akiwa ameambatana na wadada wengine ambao nao sio wageni pamoja na watoto wakiume wawili...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeendelea kujadili taarifa za Wizara ya Ardhi ambapo imepokea na kujadili taarifa ya Utendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya...
0 Reactions
5 Replies
239 Views
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na...
7 Reactions
83 Replies
3K Views
Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
0 Reactions
3 Replies
397 Views
Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni. Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga...
17 Reactions
110 Replies
6K Views
Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa...
0 Reactions
4 Replies
260 Views
Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki. Tumeumbwa kuvumilia Pia...
15 Reactions
49 Replies
935 Views
Kuna hii mbinu ya kuwafuata wananchi majumbani kuwaandikisha kupiga kura kwenye chaguzi za serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 2024. Ninajiuliza tu, kuandikisha wanafuatwa nyumbani. Siku ya...
0 Reactions
13 Replies
287 Views
Hivi bado kuna haja ya kuendelea kuitumia hii salamu katika zama zetu hizi? Kwa lipi hasa? Katika misingi ya salamu zote kwa lugha zote duniani hakuna kitu chenye mfanano na "shikamoo". Ili...
18 Reactions
112 Replies
6K Views
Back
Top Bottom